Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Wapenda mabadiliko kote nchini,siku hii ya September 7 kila mwaka sidhani kama inapaswa kupita hivi hivi bali tunapaswa kuitambua kwa namna moja au nyingine kutokana na uzito wa tukio lenyewe na jinsi tukio lenyewe lilivyotekelezwa.
Sasa wadau,siku hii tuitambue kama
1.Tanzania Cowards Day
2.A Day of Great Disgrace to the Nation
3.Tanzania Free Speech Day
4.Tanzania Black Thursday(Alhamisi ile iingie katika kumbukumbu hiyo maalumu)
Unaweza kuongezea/kuboresha.
Sasa wadau,siku hii tuitambue kama
1.Tanzania Cowards Day
2.A Day of Great Disgrace to the Nation
3.Tanzania Free Speech Day
4.Tanzania Black Thursday(Alhamisi ile iingie katika kumbukumbu hiyo maalumu)
Unaweza kuongezea/kuboresha.