Sensa ya wangapi JF watampeleka Ikulu Dr. Slaa!

E=mcsquared

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
236
40
Unachotakiwa kufanya kwenye post hii yenye motto " 31 OKTOBA TUNAMPELEKA IKULU DR. SLAA". just gonga "thanks Button"!
 
Chagua Dr. Slaa utakuwa umechagua maendeleo yanayo mjali mtanzania na wala siyo mafisadi wa kutupwa ndani ya taifa hili changa
 
Broda, kabla ya hii ungeangalia pale juu kwenye Polls, ambapo wamepambanishwa Dr Slaa na wagombea wegine wote, ndo hapo ungejua nani ni nani!!..
 
Builing the new tanzania. Dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa your citizen are waing to escort u in white house 31/10/2010
 
Unatakiwa ukagonge siku hiyo ya tarehe 31 Octoba sio hapa. Hamasisha watu kwa SMS n.k.
 
Unachotakiwa kufanya kwenye post hii yenye motto " 31 OKTOBA TUNAMPELEKA IKULU DR. SLAA". just gonga "thanks Button"!
Unachotakiwa kufanya kwenye post hii yenye motto " 31 OKTOBA TUNAMPELEKA IKULU DR. SLAA". tuma neno CHADEMA kwenda 15710
 
Oktoba 31,wadau jitokezeni kupiga kura,hasira zetu zielekezwe kwenye ballot box,kwa heri ccm.
 
Dr Slaa ni Rais wetu hada waibe kura mafisadi bado Dr Slaa amechorwa moyoni mwangu nilazima aingie ikulu
 
Back
Top Bottom