SENSA YA members WOTE WA CHIT-CHAT.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako
 
Mwe! Kuna jamaa kamtöngoza mwanaume mwenzake?. Hii dunia ndo ishavaa boxer hvyo
 
Mwe! Kuna jamaa kamtöngoza mwanaume mwenzake?. Hii dunia ndo ishavaa boxer hvyo

Teh teh teh! Nicas Mtei kweli nishaona hayo mambo sana huku! PM zina mambo! huenda kuna wengine walishahongana M-PESA yu neva know!
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba hapa uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema mimi ni MWANAUME WA KIUMENI. Tupiamo jinsia yako


Mzima kaka??


Ngoja kwanza nikavae miwani yangu....

Mbona hujamwita mjukuu mpendwa Mamzalendo??

Huu uzi unawafaa akina Papa Preta...wakuje watueleze vizuri!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Vukani - SHE

Hakyamungu vukani nilipoona ID yako hata singeweza kukisia kama ni ME au KE. Type ya ID kama yako ndio hasa zinatatiza humu. Thanx though. By the way uko singo au double?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom