sensa sensa!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sensa sensa!!!!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sop sop, Jul 23, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jaman mimi nmemaliza form six mwaka huu cna kazi yeyoye kwa hyo nilkwa nahtaji kazi wakati wa sensa,na jinsi ya kuapply ...mwenye info zozote anifahamishe!!!!!!
   
 2. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nenda website ya TBS ndo kuna full info.
   
 3. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 798
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Tafuta humu kuna thread inaelezea mambo yote,
   
 4. K

  Kichasi Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwisho tarehe 25/7.Nenda kachukue form wilayani au ukadownload kwenye website yao fasta.
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kijana, download document, jaza, peleka kwa mwenyekiti wako wa mtaa / mtendaji wa kata uthibitishwe / udhaminiwe, halafu peleka makao makuu ya wilaya yako kabla ya tarehe 25 July 2012. Zingatia deadline, hii ni Tanzania bwana!!!
   

  Attached Files:

 6. King2

  King2 JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nenda Office za afisa mtendaji kuna form utapewa jaza.
   
 7. M

  Marsy Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau me naomba kuuliza aliyepata kiwango cha malipo cha uhakika anijuze mana wengne wanadai ni 10000 kwa ck,wngne elf35 kwa cku.Nipen uhakika mkuu.Hafu kwa aliye dar-kinondon twapeleka wapi mana cjui ofc zilipo.MSAADA PLZ!!
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  yoyotesawa
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ndio walikua wanajadili kati ya 20 au iongezwe hadi 35.
   
 10. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  Kinondoni upo kata gani?
   
 11. zantos

  zantos New Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  goodmorning Africa
   
 12. pius maige

  pius maige Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  30000 tu.kwa cku.
   
 13. M

  Marsy Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani form zapokelewa wapi ndg?mna me napeleka kwa mtendaji wa mtaa anchukua na kuhifadhi anadai watazipeleka kata then tar 29 kata ndo watatoa majina.Hiyo ipo sawa kweli mana nahofia isijekuwa uchakachuzi waanzia hapo.Nijulishen wadau,,
   
 14. K

  Kichasi Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu umezitoa wapi hizo habari?
   
 15. M

  Mudamali Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye taarifa ya uhakika atujulishe.
  Naamini JF ina members ambao ni waratibu na wenyeviti wa sensa wa Wilaya.
  Hebu tusaidieni.
   
 16. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kumekucha
   
 17. Mollel Lang'asani

  Mollel Lang'asani Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda kajaze fomu maalum na uambatanishe na vyeti vyako, na pitisha mtendaji wako
   
 18. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukitoka mtaa peleka kata
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,206
  Trophy Points: 280
  Hii sensa nayo inaweza kuborongwa kama kawaida ya uborongaji unaofanywa na Serikali DHAIFU, na Watanzania chungu nzima kulalamika kwamba hawakuhesabiwa.
   
 20. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Jaza section I ya fomu ya maombi ya kazi ya muda katika sensa ya watu na makazi 2012 items 1 hadi 8 halafu unaipeleka kwa kwa Mwajiri au kwa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa ajaze section IIA e au IIB kwa uthibitisho. Mwajiri au Mtendaji wa Kijiji/Mtaa akishajaza kukuthibitisha, ichukue uipeleke Mwenyewe makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya husika, usikubali kuiacha kwa Mwajiri au Mtendaji wa Kijiji/Mtaa, haitapelekwa katika muda muafaka au haitapelekwa, utachakachuliwa. Ukifika huko baada ya kukubaliwa utapewa Fomu_ya_KUKUBALI_Kazi-SENSA na utajaza!!! Amka!!!!
   
Loading...