Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.

Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
una Akili fupi sana

sensa ni sensa na katiba ni katiba

Haviingiliani
 
Sensa ni muhimu kweli kweli hiyo katiba mpya isubiri kwanza maana hata ya zamani bado wengi wetu hatujaitambua ila sensa ya zamani tunaikumbuka watanzania wengi
Vizazi na vifo ingekuwa taasisi imara isingeshindwa hesabu za kujumlisha na kutoa.
Yaani watu walio hai (kuanzia...)+ watoto wanaozaliwa - watu wanaokufa,taasisi inashindwa kupitia mahospitali na watendaji wa serikali za mitaa (kwa wanao zaliwa na kufia nyumbani) kupata idadi hata ya makisio ya karibu hadi karne hii?!!
 
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.

Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya

Kwani Nani anataka Katiba Mpya na faida yake Ni ipi kwa Sasa 2021? Ambayo kwayo mimi mwananchi wa kawaida hapa namchumo ntafaidika. Sensa ya watu na makazi tena na shughuli za kipato Ni moja ya jambo Jema sana kwa Taifa Taifa Hili. Itasaidia kurahisisha mambo mengi sana.

Kuhusu katiba nk. Tunaomba mrudishe kwanza posho ile ya 249 laki kwa siku. Wote mlioshiriki kuanzia wewe mpaka makonda. Warioba. LIpumha nk.
 
Napendekeza katika sensa yako wapite watambue na mita namba za nyumba zote ili kukatana tozo mara mbili kwa nyumba moja ikwishe. Pia wapite na fomu za wananchi kujaza nini wanataka katika katiba mpya.

Katiba mpya ni kaburi la futi 12 kwa watawala wowote wale
 
Katiba mpya ni msumari wa moto kwa waroho wa madaraka kwenye nchi za kiafrika......
 
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.

Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
Waelewa nawazalendo wa kweli watakuambia Katiba kwanza na mengine yote yatafanyika vema zaidi na Tija itakuwepo.Hapa nchi yetu ilipofikia hata hiyo Sensa ibachakachuliwa kwa interest za kisiasa na kupoteza uhalisia.
Nashauri Mods wa JF wawezeshe tutambuane kwa kutengeneza Thread ya kupiga kura kati ya wanaotakà Katiba na wasiotaka Katiba.
Katiba ndiyo mkataba wetu na watawala na kwa hali hiyo lazima tujiridhishe na kujihakikishia utawala bora ili tupate maendeleo endelevu.Watanzania wameishi kwenye Ombwe la Uongozi na kudumazwa vya kutosha kwa kunyimwa Elimu ya Uraia na Haki za Binadamu zimegeuzwa kuwa Hisani ya watawala kwa watawaliwa.Hii siyo sawa hats kidogo.
 
Sensa kwa nchi hii ya wasiojulikana, inaweza kuwa mlango wa kujitia matatizoni kwa wale wanaotafutwa na wasiojulikana.
 
Back
Top Bottom