Sensa: CCM itavuna mbegu ya udini iliyopandikiza katika Taifa, it's pay back time!

kahesabianeni misikitini na makanisani. Msitake serikali iwafanyie kazi yenu kwa gharama zake. Tafteni hoja nyingne ya kugomea sensa.
 
kahesabianeni misikitini na makanisani. Msitake serikali iwafanyie kazi yenu kwa gharama zake. Tafteni hoja nyingne ya kugomea sensa.

Utakuwa chekechea wewe hujui hata kama kodi ya wananchi wote ndio inayotumika. Unadhani hizo billioni 141 zimetoka mfukoni mwa serikali? Kajipange before posting
 
Tatizo lao Wameshajiwekea Akili za Kutoelimishwa..

1. Wasipohesabiwa hakuna Msaada wowote watapata hata kama kuna Njaa na Ukame maana Serikali haiwajui.. Hata kama watatumiwa Mahindi hayatatosha

2. Miradi ya Maji na kupeleka Dawa kwao hakuta kuwa na Misaada hiyo

3. Hakuna Shule ya Serikali itajengwa maana Hawana idadi ya Watoto Wanaosoma

4. Hakuna huduma za Bure zitatolewa kwa Wazee maana hawatapata idadi yao

5. Hakuna Kituo cha Watoto yatima ama Walemavu kitafunguliwa iwe kwa Serikali au Binafsi maana hawatajua idadi yao

6. Hakuna Uwekezaji wowote utafanywa maana Wawekezaji wanaangalia na Eneo husika kwa Kuangalia sensa ya Eneo hiyo kwanza

7. Hakuna Pembejeo za Kilimo zitapelekwa maana hawajui wakulima ni Wangapi

FUTENI UJINGA KWANZA. Maana sijasikia Sheikh akiwaambia haya. Ila Anawaambia tu Mgome.

YOU CAN TAKE IT or NOT
 
SENSA kwa maendeleo kama mwataka maendeleo hamna budi kuhesabiwa ili serikali iweze jua ina wananchi kiasi gani ili iweze kupanga mambi vizuri ni miaka 10 toka tumehesabiwa ili mipango ifanyike kuhesabiwa inatubidi mimi sipingi na hata familia yangu wako tayari kuhesabiwa

Nilikuwa sijui kumbe kukosekana kwa nishati, rushwa, barabara mbovu, hospitali duni, majibu mepesi kny maswali magumu, Epa, migomo, etc etc ambazo imekwamisha maendeleo inatokana na kutojua idadi ya watu( sensa) eehh. Dah nawe great thinker poa lakini
 
sisi hatutaki maendeleeo, kwani kuna sensa ngapi zimepita na bado tupo nyuma? so msimamo mpaka kaburini
 
Ivi kama serikari wangeweka icho kipengele cha dini kungekuwa na tatizo gani? Serikali imesema takwimu zitakazopatikana hazitatumika na serikali pekee bali zitatumika pia na taasisi mbalimbali,kwaiyo ata taasisi za dini zinaitaji izo takwimu kwa ajili ya mipango ya maendeleo.
 
Polisi Watawaonyesha Watanzania kuwa Taifa lipo kwa kuwafundisha Adabu Waislam Wasio na Elimu hata ya Sensa. Mfano Mzuri ni KIGOMA,KILIMANJARO na TANGA. Masheikh Wapo Ndani Tayari

kwa leo utawaona polisi wa muhimu kwa kuwa wanafanya kile ambacho kinakufurahisha, ila kaa ukijua, hao hao polisi wakimaliza kuwaonea waislamu ambao hoja zao zipo wazi, watakufuata wewe waku-kung'ute kwa lolote lile alimradi tu unapingana na watawala madhalimu. kwa polisi ya nchi hii, mara nyingi wanatumika kukandamiza watu wenye tofauti na serikali.
 
Ina maana tangu kipindi cha sensa miaka ya 60 mpaka ya mwisho 2002 hayo madai yako hayaonekani?? Na kama kweli takwimu zinatumika ipasavyo mbona ulivyovyitaji vyote havitekelezeki?? Labda kwa serikali ingine sio ya sisuemi. Kajipange gamba
Tatizo lao Wameshajiwekea Akili za Kutoelimishwa..

1. Wasipohesabiwa hakuna Msaada wowote watapata hata kama kuna Njaa na Ukame maana Serikali haiwajui.. Hata kama watatumiwa Mahindi hayatatosha

2. Miradi ya Maji na kupeleka Dawa kwao hakuta kuwa na Misaada hiyo

3. Hakuna Shule ya Serikali itajengwa maana Hawana idadi ya Watoto Wanaosoma

4. Hakuna huduma za Bure zitatolewa kwa Wazee maana hawatapata idadi yao

5. Hakuna Kituo cha Watoto yatima ama Walemavu kitafunguliwa iwe kwa Serikali au Binafsi maana hawatajua idadi yao

6. Hakuna Uwekezaji wowote utafanywa maana Wawekezaji wanaangalia na Eneo husika kwa Kuangalia sensa ya Eneo hiyo kwanza

7. Hakuna Pembejeo za Kilimo zitapelekwa maana hawajui wakulima ni Wangapi

FUTENI UJINGA KWANZA. Maana sijasikia Sheikh akiwaambia haya. Ila Anawaambia tu Mgome.

YOU CAN TAKE IT or NOT
 
Yes its pay back time,
Matola siku zote unafki kwangu mwiko, mimi ni miongoni mwa watu tuliofurahishwa na ninaendelea kufurahishwa huku nikicheka meno yote 32 nje.

Kwanini nafurahi? ni kwa sababu kwa miaka nenda rudi CCM imeigeuza jamii ya Waislamu na hasa Bakwata kama chombo chao cha kufanikishia maslahi yao, na pale linapokuja swala la waislamu kuomba madai yao basi huishia kwenye ghiriba tu.

Twende taratibu:
Mahakama ya kadhi: Huu ni mkenge CCM waliingizwa na Augustine Mrema ambaye aliwaahidi Waislamu kama angeshinda Urais basi angerudisha Mahakama ya kadhi, nao CCM kwa sababu ni mabingwa wa kuiga bila hata ya kufikiri nao wakaingiza kwenye ilani yao swala hili na mbaya zaidi Rais ni Mwislamu lakini anashindwa kutimiza ahadi halali iliyomo ndani ya chama chake.

Igunga:
Baada ya CCM kuona maji yapo shingoni waliamuwa kununuwa Bakwata na kuendesha kampeni za kidini eti Chadema kisipigiwe kura na Waislamu kwa sababu kimedhalilisha Mwanamke wa Kiislamu anayedhini na Mkristo Fatuma Kimario.

CCM kana kwamba hakielewi madhara ya Propaganda hizi chafu imekuwa ni silaha yake kusema Cuf ni chama cha Waislamu na Chadema ni Chama cha Wakristo, ila tu wao ndio hawajajitambulisha bado je ni chama cha shetani?

Kwa uchache tu niseme hili swala la Waislamu kugomea Sensa mimi nawaunga mkono kwa 100% angalau labda linaweza kuwa fundisho la kufungamanisha dini na siasa, kama CCM isingekuwa inaendesha Propaganda za kidini haya yasingekuwepo ndio maana nasema Yes is pay back time.

Tukumbuke hata kule Congo kwa kuendekeza ujinga kama huu kanisa Katoliki nalo lilikuwa na waangalizi wake kwenye ule uchaguzi na mpaka leo Kanisa katoliki Congo halimtambui Joseph Kabila kama Rais halali, na kanisa linayo matokeo yake ya ule uchaguzi. huu ndio uppuzi ambao CCM wanataka kutufikisha.
Tujadili.[/QUO
Mzee hapo umenena, umeongea fact tupu. CCM wamekuwa wakiwatumia waislam kama mtaji, sasa wamewageuka. Waislam kazeni kamba, wamekula kura zenu siku nyingi kwa kushirikiana na BAKWATA
 
Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
3.Kujiunga na OIC
4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
5. Sharia Law
6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
7. Kuwafukuza Wakiristu
8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana

Wewe ulieainisha madai yenu akiri yako ni kama ya mtoto wa miezi 6
 
Unaandaa kirusi bila kuhifadhi fomula unategemea nini? Kirusi kikishika kasi unatafuta njia ya kukikabili unashindwa. Wacha kiwatafune
 
Ukitaka cha mtu sharti uliwe, Sasa ni zamu ya kuitafuna CCM. Mmeshatutumia vyakutosha tunadai nchi yetu na haki yetu kama Waislam. Tutaanza na la Sensa na tutayatimiza yote tunayotaka, rafiki wetu wakaribu tunae kama CCM.

1.Tunaanza na Sensa, ilikujua idadi yetu sisi Waislam na tukimaliza tunakuja na haya hapa
2. Kuirudisha mahakama ya Kadhi
3.Kujiunga na OIC

4. Kuitangaza Tanzania nchi ya Kiislam asiyetaka ahame, liwalo na liwe
5. Sharia Law
6. Wanawake kuvaa Hijabu, hutaki hama nchi
7. Kuwafukuza Wakiristu
8. Kurekebisha mfumo wa Elimu

Na mambo mengine yatafuatia taratibu, CCM tupeni Uhuru wetu, tumeshakusaidie sana na mmetutumia sana

Mimi ni mwislam fika. Kweli Waislam tu wajinga. Hiki unachoandika hapa kinaonyesha kuwa unaweza kula hata mavi yako mwenyewe ili mradi tu uambiwe yana uislam ndani! Ni kwa nini sisi waislam tusihame nchi kwa kuwa sii ya kiislam? Kwa nini unadai kuwa Tanzania iwe ya Kiislam? Kwani Uislam umewahi kumsadia nani hapa Tanzania? Kumbe CCM ni ya maana kama inasupport uislam? Naomba ujue kuwa wala CCM wala uislam hakuna cha maana kwa sasa. Chenye maana ni kuwa wewe na mimi ni Watanzania.
 
polisi watawaonyesha watanzania kuwa taifa lipo kwa kuwafundisha adabu waislam wasio na elimu hata ya sensa. Mfano mzuri ni kigoma,kilimanjaro na tanga. Masheikh wapo ndani tayari

waislamu wa tanga walikwenda kuwatoa masheikh asubuhi yake pale chumbageni. Kaka upo nyuma ya habari.
 
Utakuwa chekechea wewe hujui hata kama kodi ya wananchi wote ndio inayotumika. Unadhani hizo billioni 141 zimetoka mfukoni mwa serikali? Kajipange before posting

Mkuu walikwambia wamekutoza sh. ngapi kwa ajili ya sensa? Hebu tuache hizo! Kama serekali imetoa pesa kwa kazi hii itakuwa ni kidogo sana, % kubwa inatoka UNFPA na wadau wengine!
 
'In every action there is an equal and opposite reaction'...ubaya wa ccm hawana akili za kupambanua mema na mabaya. Sasa inakula kwao na pia hawajui cha kufanya, wanatumia vitisho. Kwa upande wa waislamu wasijidanganye kuwa kususia zoezi watafanikisha ajenda zao moja kwa moja. Tuone idadi yao itakuwaje watakaposusia zoezi. Hii itawadhihirishia idadi yao kamili na waache madai mengine. Estimates za watu 43,000,000 watakaohesabiwa sasa ni waiwapo watakaohesabiwa ni wakristo, basi wale ambao hawatahesabiwa ni waislamu...kwa hiyo tutajua idadi kamili za watu hao. Ila nawaonya wenzetu waislamu, iwapo mlikubali kutumiwa na ccm, leo mnawageukaje? Si waliwapa pilau? Si waliwasifia?
 
i disagree 100% with this talkings.lazima watanzania tubroad set mind yetu.hayo yote uliyotaja yana uhusiano gani na sensa?nchi iwe inaongozwa na CCM au Chadema sensa ni kitu cha lazima!hizi siasa ambazo hazina scope wala direction zisiharibu mambo mazuri ya kujenga mazingira mazuri ya kukua kwa nchi.Ni vigumu na sio vizuri kuingiza udini katika mambo ya sensa na hata ukabila.Lazima tuieleweshe jamii ya kiislam kuwa kazi ya kuhesabu idadi ya waumini ni kazi yao wenyewe msikitini kama ilivyo kwa wakristu pale makanisani.tusichanganye asilani na malengo na kazi za serikali.hatutengenezi wala hatuna mpango wa kuwa na serikali ya kidini hapa tanzania.
 
Back
Top Bottom