SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

Kweli watu hawapendi kujiajiri au hawana mtaji?.

Yaani huku mtaani wanaokimbizana serikali ya mtaa kujaza hizo fomu ni weengi sana yaani.

Ukiachilia mbali wale 100,000+ walioomba nafasi ya ualimu wakati wanatakiwa 9,800 kuna majanga makubwa sana.
Mkuu sio kuwa wanapenda!
Wengine
Mtajiiii ni issue
 
Wewe jamaa ni mwalimu kama sio basi basi kazi yako inashabihiana na hiyo.
Mshahara wako(kama unao kweli) hauzidi laki 6 na haupungui laki 2.

Sikujui ila kwa hizi ngonjera zako we ni kapuku.
Ila pia kuna asilimia 55 zinaniambia wewe ni jobless.

Pesa ina tabia ya kujitangaza huwa haitangazwi.
Omba kazi ya sensa uje uhesabu watu ila umasikini utakutesa sana wewe mtu wa sensa
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Wote hatuwezi kuwa huko,na wote hatuwezi kukunja mahela mengi,raha ya utajiri kuwepo na maskini
 
Omba kazi ya sensa uje uhesabu watu ila umasikini utakutesa sana wewe mtu wa sensa
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Tajiri wa keyboard.
Mkuu hii jf isikudanganye, usidhani wanaosema wana magari humu basi wanayo kweli, mwisho wa siku na ww ukataka kujinadi kama wao.

Ishi maisha yako ticha, shauri yako Don wa mchongo.

Hujabisha hizo figure zangu, hope zinaelekeana na ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Enewei vipi umeshapeleka form kwa mtendaji au bado system inakusumbua??
 
IMG-20220512-WA0007.jpg
 
"kwa ajiri ya kufanya marekebisho ya majina"

Ninyi ndiyo makarani mliandika 'load' badala ya 'road'.

Jinga sana!
 
Mbona mnawasema walimu wa watu au kwavile wamechangia kuwafelisha maisha πŸ˜‚ mpo mtaani hamna ajira mnazurura kama ngurue πŸ˜… wanaojaza hizo form wengine ni mama na baba zenu πŸ˜‚ wanaungua jua ili wapate chochote kuja kuwalisha nyumban ugali maharage πŸ˜… sasa nyie mnatukana mnadhan wote wanao omba hio kaz ni walimu tu... Au mnachukia kwasabab wanaziba nafas zenu πŸ˜‚ ukimtukana mwl ni sawa umemtukana mama yako chumban akiwa uchi... Respect kwenu walimu pambaneni
 
Wewe ni mwalimu? Maana hizi kazi wanahangaika nazo kwelikweli kwa kuwa wao wana muda wakutosha kufanya shughuli zingine.

Nikupe mchongo sasa uache kukimbizana na ajira za kudhalilika kama hizi maana mimi nimeshakuona lofa SGR LOT 2 ambayo inaelekea kuisha LOT 3 on fire IT technician mwenye diploma anakunja laki tano kwa mwezi (nafasi ni chache)

Nurse mwenye diploma anakunja hadi 700 kwa mwezi.
Engineer huyu sisemi utahisi ni uongo
Dereva hela anayoipata wewe hata ufanye kazi huko kwenye ualimu wako mwaka mzima humgusi

Achana na masensa wewe
Oyaa hiii ni kazi gani nina diploma ya medical niambie nifanyeje nijiunge
 
Oyaa hiii ni kazi gani nina diploma ya medical niambie nifanyeje nijiunge
Kama upo dodoma nenda Ilazo yapo makao makuu yao wenzako wanakuja hadi laki 6+.

Hawatoi kazi kwa kutumia dalali wala rushwa ni eidha utume maombi kwenye website yao au uende ofisini kwao.
Na kwa hivi sasa kuna maombi ya kazi kwa ajiri ya matumizi ya baadae ila zote haziko kwenye field yako
 
Back
Top Bottom