Elections 2010 Sensa 2002 Igunga: Waisalmu 89% Wakristo %9

Dume la Mende

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
423
64
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
 
kwani wao waikiwa wenngi ndio sababu..mbona kigoma wapo kibao halafu upinzani kama kawaida..
 
Unapaswa kuwa mkweli,sidhani kama takwimu za sensa za 2002 zilikuwa zinaonyesha idadi ya watu kwa pamoja na dini zao. Ninachofahamu ilikuwa zinaonyesha idadi ya watu pamoja na jinsia mf: wanawake na wanaume au watoto na watu wazima.
 
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?
 
Hapo penye rangi tu yaonesha wewe huna data. Kafanye utafiti kisha rudi ubishane. DO YOUR HOME WORK
 
kwani uchaguzi wa igunga wa kidini??? mimi nanachojua ni uchaguzi wa vyama vya siasa sas huo mgawanyo wa kidini sjjui unatoka wapi............Au wale wale wabaguzi....ukila nyama ya mtu utaendelea tu......nosense
 
mbona unatoka povu mkuu, kwani nani kataja chama kisicho cha upinzani? je kama ni wapenzi wa CUF? Ina maana CUF si upinzani? Au ni chama "kile" tu ndicho cha upinzani?

Ndo maana yake! Hujui kama CUF kawekwa ndan na Bw.CCm anaendelea kujilia mambo yake....?
 
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.

Na waliopigiwa miti wake zao wako % ngapi?
 
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.

Mkuu, kwa hiyo Wakiristo wengi wapo CDM watakipigia chama chao?
 
Hivi unafikiri Igunga ni Zenji? Kajipange tena.
Kutokana na sensa ya mwaka 2002, inaonesha kwamba waislamu wako asilimia 88, sasa hii wala haihitaji mathematics bali arithmetic tu ku project mshindi wa kiti cha ubunge Igunga. Mida ya kufunga hesabu imekaribia saaaana tupeleke kilio kwenye chama fulani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom