Seneta wa Marekani aituhumu China kuwa ndio imeunda virusi vya Corona

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
Seneta wa Marekani aituhumu China kuwa ndio imeunda virusi vya Corona

Feb 17, 2020 11:42 UTC

[https://media]

Seneta mmoja wa Marekani amesema kuwa virusi vya Corona ni silaha ya kibaolojia ambayo imeundwa na jeshi la China.

Tom Cotton ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya Fox News na kudai kwamba ripoti kadhaa zinazosema kuwa virusi vya Corona vilianza kuenea katika soko la vyakula nchini China, hazina ukweli wowote na wala virusi hivyo havikuanzia katika soko la wanyama la mji huo wa Wuhan. Cotton ameongeza kwamba haijajulikana virusi vya Corona vilikuja kutokea wapi na kudai kuwa ni lazima chanzo chake kifahamike. Seneta huyo wa Marekani amebainisha kwamba, karibu na soko la vyakula la Wuhan ndiko kuliko na kituo cha uchunguzi wa kisasa cha China ambacho kinajihusisha na uchunguzi wa maradhi ya maambukizi ya binadamu.

[https://media]Tom Cotton, Seneta wa Marekani

Hata hivyo viongozi wa China wametupilia mbali madai ya Tom Cotton na kumtaja kuwa anayesema uongo kuhusiana na chanzo cha virusi vya Corona. Pamoja na hayo Cotton anasisitiza kuwa ni jukumu la serikali ya Beijing kuthibitishe kinyume cha madai kwamba virusi hivyo ni silaha ya kibaolojia. Tangu kulipoibuka virusi vya Corona, vyombo vya habari vinavyomilikiwa na vyama viwili vya Republican na Democrat nchini Marekani vimekuwa vikieneza propaganda dhidi ya China kuhusiana na chanzo cha virusi hivyo na namna ya kuvidhibiti.

4bv6e5ee4f2d1a1lnjs.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameanza kufichuana. Wametutengezea magonjwa mengi kama Ebola, HIV na mengine mengi sasa Mungu anawaumbua.
 
Depopulation inatesa nakuuwa watu wasiokua nahatia
Nahisi hapa kuna kaukweli kama haka karusi ni Man Made Ila Sijajua Kama Made In Beijing Or DC

Ila Kama Wameamua Kutumaliza Ama Kuwamaliza Wenzao Kwakuhisi Yakwamba Wao Wataishi Milele Nawapahongera Sana Nanawaambia Wanafanya Kazi Njema Ila Uzuri Wakuua Hakukufanyi Wewe Uongeze Urefu Wamaisha Yako

Ila Inasikitisha Sana Kusema Laukweli.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seneta wa Marekani aituhumu China kuwa ndio imeunda virusi vya Corona

Feb 17, 2020 11:42 UTC

[https://media]

Seneta mmoja wa Marekani amesema kuwa virusi vya Corona ni silaha ya kibaolojia ambayo imeundwa na jeshi la China.

Tom Cotton ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya Fox News na kudai kwamba ripoti kadhaa zinazosema kuwa virusi vya Corona vilianza kuenea katika soko la vyakula nchini China, hazina ukweli wowote na wala virusi hivyo havikuanzia katika soko la wanyama la mji huo wa Wuhan. Cotton ameongeza kwamba haijajulikana virusi vya Corona vilikuja kutokea wapi na kudai kuwa ni lazima chanzo chake kifahamike. Seneta huyo wa Marekani amebainisha kwamba, karibu na soko la vyakula la Wuhan ndiko kuliko na kituo cha uchunguzi wa kisasa cha China ambacho kinajihusisha na uchunguzi wa maradhi ya maambukizi ya binadamu.

[https://media]Tom Cotton, Seneta wa Marekani

Hata hivyo viongozi wa China wametupilia mbali madai ya Tom Cotton na kumtaja kuwa anayesema uongo kuhusiana na chanzo cha virusi vya Corona. Pamoja na hayo Cotton anasisitiza kuwa ni jukumu la serikali ya Beijing kuthibitishe kinyume cha madai kwamba virusi hivyo ni silaha ya kibaolojia. Tangu kulipoibuka virusi vya Corona, vyombo vya habari vinavyomilikiwa na vyama viwili vya Republican na Democrat nchini Marekani vimekuwa vikieneza propaganda dhidi ya China kuhusiana na chanzo cha virusi hivyo na namna ya kuvidhibiti.

View attachment 1361689

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happ mchina kataimiwa,Ni rahisi mno kuingia na virusi na ukavipandikiza bila mtu kujua,tatizo tu Ni nchi chache zinazoweza ku weaponise virus
 
Tayari umenasa kwenye mtego na propaganda za mabeberu...anyway pamoja na hayo binafsi siwapendi wachina kwani hawana tofauti na mabeberu kimkakati..
Moja Ya Koment Bora Kabisa Kuwahi Kuishuhudia Ama Kuiona Toka Kuanza Kwahuu Mwaka

Kuwachukia Wachina Halafu Ukawapenda Wazungu Kwasababu Yakwamba Ya Eti Wachina Niwanyonyaji Hua Nauona Niujuha Wakiwango Chajuu Kabisaa

Wote Nimabeberu Ila Tu Mbinu Ndio Zinatofautiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seneta wa Marekani aituhumu China kuwa ndio imeunda virusi vya Corona

Feb 17, 2020 11:42 UTC

[https://media]

Seneta mmoja wa Marekani amesema kuwa virusi vya Corona ni silaha ya kibaolojia ambayo imeundwa na jeshi la China.

Tom Cotton ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya Fox News na kudai kwamba ripoti kadhaa zinazosema kuwa virusi vya Corona vilianza kuenea katika soko la vyakula nchini China, hazina ukweli wowote na wala virusi hivyo havikuanzia katika soko la wanyama la mji huo wa Wuhan. Cotton ameongeza kwamba haijajulikana virusi vya Corona vilikuja kutokea wapi na kudai kuwa ni lazima chanzo chake kifahamike. Seneta huyo wa Marekani amebainisha kwamba, karibu na soko la vyakula la Wuhan ndiko kuliko na kituo cha uchunguzi wa kisasa cha China ambacho kinajihusisha na uchunguzi wa maradhi ya maambukizi ya binadamu.

[https://media]Tom Cotton, Seneta wa Marekani

Hata hivyo viongozi wa China wametupilia mbali madai ya Tom Cotton na kumtaja kuwa anayesema uongo kuhusiana na chanzo cha virusi vya Corona. Pamoja na hayo Cotton anasisitiza kuwa ni jukumu la serikali ya Beijing kuthibitishe kinyume cha madai kwamba virusi hivyo ni silaha ya kibaolojia. Tangu kulipoibuka virusi vya Corona, vyombo vya habari vinavyomilikiwa na vyama viwili vya Republican na Democrat nchini Marekani vimekuwa vikieneza propaganda dhidi ya China kuhusiana na chanzo cha virusi hivyo na namna ya kuvidhibiti.

View attachment 1361689

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huyo Seneta anajichanganya mwenyewe kwenye maelezo yake?
 
Happ mchina kataimiwa,Ni rahisi mno kuingia na virusi na ukavipandikiza bila mtu kujua,tatizo tu Ni nchi chache zinazoweza ku weaponise virus
Mimi ninaamini USA ndiye muundaji wa CORONAVIRUS ili kupunguza kasi ya China katika maendeleo na uwekezaji wa mitaji kiteknolojia.

Kwa uzandiki wa USA, watakuja na ushahidi hadi ugonjwa ulipoanzia wakidai ni utafiti kumbe wanajua walipopandikiza virus hivyo.

Hiyo ndiyo tabia ya USA, kwa unafiki na fitina, wanaongoza dunia. Iko siku mungu atawajibu.
 
Back
Top Bottom