Wanajf kama kuna mtu anafuatilia mtiririko wa matukio atakubaliana nami kuwa mwaka huu Senene zimekuwa nyingi mpaka hata zikidondokea kwenye glass ya bia hazifi. Je hii ina maanisha nini. Kwa wenzetu wa Bukoba watakuwa na jibu. Naombeni mtujuvye.
Kwa hiyo ndo kusema kuwa mwaka huu hakuna njaani dalili ya chakula kingi