Senene za mwaka huu balaa

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,937
938
Wanajf kama kuna mtu anafuatilia mtiririko wa matukio atakubaliana nami kuwa mwaka huu Senene zimekuwa nyingi mpaka hata zikidondokea kwenye glass ya bia hazifi. Je hii ina maanisha nini. Kwa wenzetu wa Bukoba watakuwa na jibu. Naombeni mtujuvye.
 
Unakutana na vigoli saa 6 nite vinakamata senene. Viko poa tu kwa mafataki
 
Wanajf kama kuna mtu anafuatilia mtiririko wa matukio atakubaliana nami kuwa mwaka huu Senene zimekuwa nyingi mpaka hata zikidondokea kwenye glass ya bia hazifi. Je hii ina maanisha nini. Kwa wenzetu wa Bukoba watakuwa na jibu. Naombeni mtujuvye.

Wp huko mkuu? maana huku kwetu hakuna kabisa
 
Wanajf kama kuna mtu anafuatilia mtiririko wa matukio atakubaliana nami kuwa mwaka huu Senene zimekuwa nyingi mpaka hata zikidondokea kwenye glass ya bia hazifi. Je hii ina maanisha nini. Kwa wenzetu wa Bukoba watakuwa na jibu. Naombeni mtujuvye.

Wp huko mkulu?
 
Back
Top Bottom