Senene waua mtu Kagera

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.

Hali ilivyo kwa sasa, wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.

Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba, kutokana wingi wa wadudu hawa, Tanesco mkoani humo, ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao, baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.
 
Itakua ni investment ya Escrow hio sio bure, kumbe wameenda kuinvest kwenye uzalishaji Wa Senene? Wafanye mpango wawaexport waturudishie pesa yetu, hatutaki utani na pesa. RIP MTOTO
 
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.Hali ilivyo kwa sasa,wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba,kutokana wingi wa wadudu hawa,Tanesco mkoani humo,ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao,baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.

Acha kupotosha watu wewe senene wana uzito gani wa kuangusaha mti?
 
Last edited by a moderator:
Katika hali isiyo ya kawaida,mtoto mmoja katika wilaya ya Karagwe amekufa baada ya wale wadudu watamu kwa wingi wao kumshambulia na kumziba pua na mdomo.Hali ilivyo kwa sasa,wadudu hawa wamekuwa wengi kupita pengine miaka yote iliyopita.Taarifa za kuaminika kutoka Bukoba mjini ni kwamba,kutokana wingi wa wadudu hawa,Tanesco mkoani humo,ililazimika kukata umeme kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na wingi wa wadudu hao,baadhi ya miti ya kawaida na ya umeme ilikuwa ikianguka hovyo.
mayenga porojo zako peleka fb siyo hapa JF.Hakuna kitu kama hicho.kuna senene ndiyo kama misimu mingine ya mwaka na wala hazijavunja rekodi yoyote .

Pole sana na kajipange tena
 
Ngumu kumeza!
 
mkuu tuwekee picha sisi wengine hatujawahi waona hao wadudu wakiwa hai na wingi wa kutisha kiasi cha kuangusha miti na nguzo za umeme. RIP MTOTO
 
mayenga porojo zako peleka fb siyo hapa JF.Hakuna kitu kama hicho.kuna senene ndiyo kama misimu mingine ya mwaka na wala hazijavunja rekodi yoyote .

Pole sana na kajipange tena

Wewe Ni mwandishi,unaripoti kutoka wapi❓,Karagwe umeenda lini❔➖Nilitegemea uniwekee source ya kukanusha kwako siyo matusi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani habari yenyewe ni tetesi lakini imetumwa kwenye simu salio limeenda. Likitokea suala nyeti salio linakutwa empty
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom