senene ni tamu jamani

Zile Mama Kokubanza alizokutumia ndio umezipata eeh! Kama nilivyokuambia wagaie wenzio la sivyo u-t-a-v-i-m-b-i-w-a Bishanga!! NIMEMALIZA.
 
Last edited by a moderator:
Njoo huku nikupeleke Arusha Break Point iliyoko pembeni ya Makalio Bar wanazo 24/7. Bwenga wote Arusha wanahudhuria daily. Thanx though..I never eat insects....that's special for birds.

Makalio bar? Mmmhhhh!
 
Yaani hata nikifikiri vipi bado sipati picha ya mtu mwenye akili timamu kula nzi wakuu.

ImageUploadedByJamiiForums1355551899.276483.jpg
 
Kwa hali hii, naona hata ndege sensa yao itapungua maana watu badala ya kula chakula tunakula wadudu. Sasa ndege watakula nini tukiwaingilia kihivi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom