Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,353
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo macho ya senene yanatisha ni ngumu kwangu kupeleka hiyo kitu mdomoni
Hii burger tamu sana,achana sijui beef na chicken burger.
Mc Donald burger from BK iweeee
Hii burger tamu sana,achana sijui beef na chicken burger.
Nice protein
Jaribu kuonja uone,utasahau hizo hamburger.Hawatokuwa juicy na mnofu kama hamburger yenyewe orijino!!
Hayo macho ya senene yanatisha ni ngumu kwangu kupeleka hiyo kitu mdomoni
Leo sijui mmenikusudia nini..
Mi nasamehe hapa nilipo pia nimefunga macho ctaki kuangalia!Jaribu kuonja uone,utasahau hizo hamburger.
Basi utashindwa kula vingi kama unaangalia macho,we huoni utajiri wa protein kwenye senene!!!
Macho yao sawa na prawns hakuna tofauti, nenda feri kawafananishe halafu utapata jibummmmmmh mie hao siwali kabisaaa....na hayo macho yanatisha