Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jun 28, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wananchi wa senegal katika miji ya Dakar na Mbour wameandamana kupinga mgao mkali wa umeme unaoendelea nchini humo.Wananchi hao wenye hasira wamefanya fujo kwa kuharibu mali na majengo mbali mbali ya kiserikali.
   
 2. K

  Kitwanad Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eeh! hiyo ni salamu tu kwa ccm. watz nao wataandamana tu mpaka kieleweke.haiwezekani matatizo mengi toka uhuru hadi sasa yako hovyo.kilichobaki ni mapinduzi tu.
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ... Watu wanaoweza kuthubutu kuishikiza serikali kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao! Cc hapa hata tukitangaziwa mgawo wa masaa 27 bado tutaishia kunungunika tu pembeni badala ya kutake ACTION!! Poor We
   
 4. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe uwe wa kwanza kuandamana............Sisi tutajitahidi kutafuta muda wa kukutembelea MOI Muhimbili kukupa pole baada ya maandamano yako.
   
 5. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Message Sent!
   
 6. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...WOGA wa aina yako ndio unaotufanya waTz kubaki Maduanzi siku zote na wa-KIJANI watuinamishe wanavyopenda...Argh!
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Bora tusingepata uhuru kuliko kuwa na uhuru wa miaka 50 ya kukaa kwenye giza na maisha magumu kila kukicha!
   
 8. O

  Olecranon JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,371
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hawa wa senegal wanajua kuwa wao ndio wenye serikali na pia wanajua cha kufanya kama viongozi wa serikali yao wakishindwa kazi. sis watanzainia tunahubiriwa amani wakati haki hakuna na tunaridhika. Tuamkeni kabla wenzetu hawajatucheka!
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama hujipendi andamana!!
   
Loading...