Sendeka, Maji-Marefu na Lusinde Haya yanatoka mioyoni Mwenu?

Nadhani hapa kuna matatizo mengine ya kimkakati kwa CDM; very grave mistakes!!! naomba kweli washindeee lakini wasiposhinda Arumeru....
MKJJ ninavyokusomaga huwa unapenda sana mageuzi yatokee nchini lakini huwa naona kama mapenzi yako yanaongozwa sana na hisia kuliko uhalisia.
 
Wanafiki wakubwa ao wana jipendekezatu,tuki ingia msituni akuna mwana ccm waku mwacha hai,wao ndio wametufikisha apa na akuna alie msafi.wote wakuchapa risasi.
 
Hao ni wanafiki tu, wanataka wawapumbaze CDM ili waweze kuwaibia kura kisha waseme CCM imeshinda kwa margin, kazi lazima iendelee kupigwa mpaka kieleweke.
 
Wana JF kila mtu kwa Wakati wake amejaribu japo kwa Kificho au kwa Uwazi kutoa Pongezi kwa Joshua Nassari kuhusu ushindi wa Wazi uliojioesha.
MAJI MAREFU: yeye alifika Kambi ya CHADEMA na kuomba kuonana na Nassari ili ampe pongezi na Kutoa Mchango wake wa mafuta Laki 5 ambao ulikataliwa vikali na Mameneja wa Kampeni na kuzua Tafrani.
OLE SENDEKA;yeye alichukuwa hatua ya Kwenda Mikungani Mbuguni kuusaka Msafara wa Mgombea ili kumkaribisha Mjengoni na kukutana Nao njiani ambapo aliusimamisha na kutaka kumkumbatia dr Slaa na akamgomea na kuamua Kumkumbatia Nassari huku akicheka na kukiri kuwa Mmeshinda
Lusinde: yeye alimpigia Simu Nassari na kusema kuwa Hongera Mgombea wetu hajiwezi na CCM hawataki Maswali tofauti na Nyie CHADEMA mnatoa Fursa hiyo na Siyoi ni spoon Feeding hajiwezi.
MY TAKE: Hawa mabwana haya yanatoka Mioyoni mwao?
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forums

Asante sana kwa taarifa kamili ya matukio kwenye kampeni ila sasa kuwa mwenyeji maana umezoea mpaka kuingia front
 
Wewe ni Mwanakijiji huyu huyu tunayekufaham au kuna mtu amehack password yako?

Afadhali hata wewe umeuliza maananilimzoea kuwa ni mtu wa kuja na mikakati na analysis lakini sasa naona amegeukia ila style ya JK ya kulalamika tu bila kutoa solution, halafu matokeo yakitoka mabaya aanze kusema si nilisema? kama kuna kitu unachofikiri kinaweza kufanyika sasa air it out, viongozi wa cdm wapo humu watasoma na ku take action haraka!1
 
Sendeka ameamua ahesabiwe heri lawama kuliko fedheha

attachment.php
 
Ndgu Mgeni Wetu, Inaonekana unapenda ujiko sana, bila shaka we ni kutoka ile kanda yetu,nikitambo nimependa thread zako, ila sifurahishwi na hiyo sifuri kwenye likes given. May be u don appreciate others' thread.make it even 1
CHADEMA, huwa wanapongezana bana, acha bana, 401 by 0.Invalid corelation

Nimeipenda concern yako. Lakini pia inategemea, kama anatumia simu, hicho kitufe cha like hakipo.
 
MKJJ ninavyokusomaga huwa unapenda sana mageuzi yatokee nchini lakini huwa naona kama mapenzi yako yanaongozwa sana na hisia kuliko uhalisia.

Ni miongoni mwa watu wachache ambao hisia hazina nafasi. Unapokuwa vitani na maaskari/makamanda wa timu nyingine wanakuja kwa siri au kutafuta contacts za siri kuwapa information mbalimbali kitengo chenu cha intelligence kinatakiwa kutake over. Hakukuwa na sababu ya msingi ya kuwalipua kihivyo kungefanyika counter intelligence moves! Mnawatisha hata watu wenye nia nzuri ya kuisaidia CDM! Its a big mistake... wangeihandle very differently and strategically!
 
Msithubutu kudanganyika.
Hizo ni mind games. Na huu utaratibu wa watu wa ccm kujifanya wema dhidi ya chadema, mkijisahau kidogo tu ''mtalokota mupira kunyavu''!
 
kwayanayoendelea meru chadema ushindi labda tuukatae wenyewe...yaani tupoteze umakini ktk kuweka mawakala waaminifu nakulinda kura zetu!unawezaje kushindwa na timu inayoongozwa na mtaalamu wa usingizi kama wasira!au mtu asiyeamini alisemalo kama lusinde au yule pro wa ile taaluma isiyo eleweka!vijana wameru wanasema nibora kuongozwana mtu anayejua matatizo na changamoto zinazokuzunguka kuliko kuongozwa na wakuja asiyejua hata miiko na tamaduni zake...pia wanasema utampigiaje kura mtu asiyejipigia yeye kwanza!hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
kumbe wasira hakuwepo igunga!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom