Seminari za Kiislamu na mafunzo ya Kareti, kuna nini?

Status
Not open for further replies.

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?
 
Tafuta kazi ufanye Mkuu!
 
Nikuonyesha kipaji walivyotunukiwa.Au wewe unataka waimbe tu kwenye mahafali ndo ulichozoea kuona.Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele
 
Nikuonyesha kipaji walivyotunukiwa.Au wewe unataka waimbe tu kwenye mahafali ndo ulichozoea kuona.Tumia kichwa kufikiri sio kufugia nywele

mleta hoja ana hoja ya msingi ya kuleta mezani. ni suala la kuangalia kwa makini. siyo wananchi wote wansmiliki bunduki hata polisi wanazo chache. ni vema km wana malengo hasi wakadhibitiwa mapema.
 
Bora ufilisike ki mali lakin sio Kiakili tena mbaya zaidi ukiwa umefungwa kidini.

Pole mtoa mada.
 
Mafunzo ya kareti ni kwa ajili ya kuwadhibiti polisi wenye kimbelembele tukiwa tunko kwenye operesheni zetu za kila Ijumaa kushinikiza Ponda na wazee wa Tuwache Tupumuwe waachiwe
 
mleta hoja ana hoja ya msingi ya kuleta mezani. ni suala la kuangalia kwa makini. siyo wananchi wote wansmiliki bunduki hata polisi wanazo chache. ni vema km wana malengo hasi wakadhibitiwa mapema.

Nakumbuka Zamzni pale skuli ya Zanaki, dar es Salaam walikuwa wanafundisha karate.

Mimi nashauri zifungwe mara moja zibaki zile zinafundisha kukata viungo vya albino, kuchuna ngozi na kuuwa vikongwe.
 
Vyovyote vile iwavyo, iwe wana lengo zuri au abya katika kufanya hayo mafunzo ninachojua ni kwamba shtani hataweza kufanikisha kile alichokusudia katika nchi hii. Watu wa Mungu wakweli wanaendelea kumdhibiti kwa njia ya maombi katika ulimwengu wa roho; hatafanikiwa. Kushindana kwetu sisi , si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza na juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho
 
Ngoja vijana wa pale mtambani waje maana pale ndio chuo kikuu cha wanaharakati.
 
Mafunzo ya kareti ni kwa ajili ya kuwadhibiti polisi wenye kimbelembele tukiwa tunko kwenye operesheni zetu za kila Ijumaa kushinikiza Ponda na wazee wa Tuwache Tupumuwe waachiwe

Nafikiri mleta hoja ana hoja ya msingi.Dini kikawaida inafundisha umoja, amani ,mshikamano na upendo.Pale inapofikia dini inaanza kujiingiza kwenye mafunzo ya kujihami ni lazima tuhoji kuna nini?kwanini basi wasiwafundishe ufundi selemara, au michezo mingine?Hizi ni dalili za awali za ugaidi.Je katika mitaala ya shule zao,kuna huo mchezo?Hapa kuna tatizo.
 
Nakumbuka Zamzni pale skuli ya Zanaki, dar es Salaam walikuwa wanafundisha karate.

Mimi nashauri zifungwe mara moja zibaki zile zinafundisha kukata viungo vya albino, kuchuna ngozi na kuuwa vikongwe.

Kama kweli una mawazo kama ulivyo yawakilisha hapo juu au hata kwa utani, UTAKUWA UMEKOSEA SANA. Naamini hata uisilamu haufundishi kukata viungo vya albinoa na kuchuna ngozi na kuuwa vikongwe kama ulivyosema hapo juu.

Hayo ni mawazo na kazi ya kishetani. Kwa kuwa umeyatamka, hata wewe ni mfuasi wa kishetani na sio we kislam wala sio wa kikristo.

Pole sana kwa kupotea na kuingia gizani. Ushauri wa bure, tafuta njia ya kutoka huko uliko. NAKUSIKITIKIA SANA.

Sijui kama ni vema kufikiria mazingira ya huko Doha, Qatar unakoishi, na kukuuliza je huko pia kuna Albino? na unachuna ngozi za watu huko pia kuua vikongwe? au unapendelea mawazo yako yafanywe hapa Tanzania tu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom