Seminari za Kiislamu na mafunzo ya Kareti, kuna nini?

Status
Not open for further replies.
.Hii nayo thread ya kujadili! Kweli ujinga uliopo hapa jamiiforums ni zaidi ya social network!
 
Kama kweli una mawazo kama ulivyo yawakilisha hapo juu au hata kwa utani, UTAKUWA UMEKOSEA SANA. Naamini hata uisilamu haufundishi kukata viungo vya albinoa na kuchuna ngozi na kuuwa vikongwe kama ulivyosema hapo juu.

Hayo ni mawazo na kazi ya kishetani. Kwa kuwa umeyatamka, hata wewe ni mfuasi wa kishetani na sio we kislam wala sio wa kikristo.

Pole sana kwa kupotea na kuingia gizani. Ushauri wa bure, tafuta njia ya kutoka huko uliko. NAKUSIKITIKIA SANA.

Sijui kama ni vema kufikiria mazingira ya huko Doha, Qatar unakoishi, na kukuuliza je huko pia kuna Albino? na unachuna ngozi za watu huko pia kuua vikongwe? au unapendelea mawazo yako yafanywe hapa Tanzania tu?

Labda nikupe suala kidogo.

1.Je ni nchi gani duniyani ambayo raia wake wanaua Vikongwe, Kukata viungo vya albino, na kuchuna ngozi?
2. Je maeneo gani ya nchi hiyo?

Tufanyeni kazi bhana duh, ila ukweli ni kwamba mnatoa mafunzo ya karate which is wastage of your time an resources.
 
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?

Kuna thread moja humu inaelezea jinsi wanafunzi ya sekondari ya Bagamoyo walivyokuwa wakifanya mafunzo ya karate "usiku wa manane msikitini!" This country needs a leader.
 
Kuna Misikiti inatowa mafunzo ya Kigaidi na Markaz ni one of them. tusibishane kwenye hili.

Ningeona ajabu usingechangia na usingekua negative!huna sifa ya kuwa mhamasishaji wa cdm wakat upo negative hivyo na imani za watu fulani,nyinyi ndo mnaipa nguvu kauli ya ccm kwamba cdm ni chama cha kidini,asilimia kubwa ya wale wanaokua positive na cdm ndio walewale mnaokua negative na uislamu.
Hamtutendei haki wapenzi wengine wa mageuzi tunaoamini angalau cdm ina leta mwangaza.
 
quote_icon.png
By Matola

Kuna Misikiti inatowa mafunzo ya Kigaidi na Markaz ni one of them. tusibishane kwenye hili.

Ugaidi kwa karate wapi na wapi?
 
Ni uchakachuzi usio na msingi zaidi ya kujidhalilisha. Hakuna kitu kama SEMINARI ZA KIISLAM. Seminary ni shule za kikristu na hasa kikatoliki. Angalie kwenye dictionary zako zote ulizonazo maktaba na online. Hizo shule za kiislam kufundisha karate mie sina shida ni sehemu ya mazoezi na michezo.
 
Labda nikupe suala kidogo.

1.Je ni nchi gani duniyani ambayo raia wake wanaua Vikongwe, Kukata viungo vya albino, na kuchuna ngozi?
2. Je maeneo gani ya nchi hiyo?

Barubaru hapo umeuliza jibu lako ya kuwa unapenda mauaji ya albino, uchunaji wa ngozi na kuua vikongwe vifanyike Tanzania.

Nakushauri uje hapa Tanzania kuna mji unaoitwa Dodoma na hapo kuna Hospital inaitwa Mirembe. Nadhani utapata huduma nzuri tu na utapona.

Njia nzuri kuliko zote soma hapo chini kuhusu wokovu
 
mkuu hembu dadavua vizuri hapo maana utamu unakujaaaa utamu unakata?
 
Hii ni sawa sawa na vita vya maji maji. Kareti za nini, kama ni ya kweli kwa wakristo, vita hatapiganwa na wao bali Mungu haawapigania!
 
Gazeti la Mwananchi uk 7, leo kuna picha ikiwaonyesha wanafunzi wa Seminary ya Markaz wakicheza karti wakati wa Mahafali ya Form 4.
Kwa muda sasa imekuwa ikidaiwa kuna Misikiti kadhaa, Waumini hupatiwa mafunzo hayo baada ya swala za maghreb, madai hayo yamekuwa yakiambatana na madai kuwa hayo ni maandalizi kwa ajili ya siku itakapotokea vita kati ya Waislamu na Wakristo.
Najiuliza, mafunzo hayo ya kareti hadi Misikitini, yana nia gani?

Jibu la swali lako ni hapo kwenye bluu.. Wanazo hadi DVDs za jinsi ya kushambulia na kuwauwa wakristo na mipango yao ya kuangamiza ukristo. wanafundishwa toka wakiwa watoto wadogo kuchukia wakristo na mambo mengine mabaya zaidi i.e kuhakikisha wanashika madaraka makubwa CCM (mmeona) na serikalini ili ajenda zao mbaya zipite kirahisi!! Kuna Mungu hapo au ni shetani tu anayeabudiwa nao hao wawafundishao uovu huo? Hizo DVDs zipo za aina nyingi mitaani nafikiri zinafichwafichwa ila nimeziona na ni ushetani mtupu!!! Mungu hataachia ushetani huu ufanikiwe!
 
Ni uchakachuzi usio na msingi zaidi ya kujidhalilisha. Hakuna kitu kama SEMINARI ZA KIISLAM. Seminary ni shule za kikristu na hasa kikatoliki. Angalie kwenye dictionary zako zote ulizonazo maktaba na online. Hizo shule za kiislam kufundisha karate mie sina shida ni sehemu ya mazoezi na michezo.

ama kweli wewe ni @mpitwaga halisi kaa kimyaaa tena shiii unyamaze maana hata hili lishakupita
 
Kila Mkristo akifikri kama wewe ...si tu tutakuwa tunamiliki,tutamilii na kutawala pia,maana waweza miliki lkn wakatawala wengine............Amen!

Vyovyote vile iwavyo, iwe wana lengo zuri au abya katika kufanya hayo mafunzo ninachojua ni kwamba shtani hataweza kufanikisha kile alichokusudia katika nchi hii. Watu wa Mungu wakweli wanaendelea kumdhibiti kwa njia ya maombi katika ulimwengu wa roho; hatafanikiwa. Kushindana kwetu sisi , si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza na juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho
 
kufikiria kwa mabaya ,kufikiriana kwa visasi hiyo sio dini .hata hao wanaowahisi wenzao wakifanya mazoezi ya kareti, ni kwa ajili ya kutendea maovu nayo hiyo sio dini, hata ukifuatilia mafunzo yenyewe ya kareti yanaelekeza upendo. mwanangu anasoma shule ya kawaida lkn ktk kipindi cha michezo hufundishwa kareti nayo ni kwa ajili ya kudhuru watu wengine?
 
Karate ni physical exercise na pia inasaidia kwenye self defence.Si kila wanalofanya waislamu ni baya na wafanyalo wakristu ni zuri. ?i ni mkristo,nimewahi kujifunza karate parokia ya Manzese miaka mimgi nyuma wakati yupo paroko father Francois alieanzisha radio tumaini. Mpaka leo dojo hilo linaendelea. Pia nilijifunza karate nikiwa Azania secondary,je nao walitaka kupindua nchi au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom