Semina za kisasa za ndoa zinavyochangia kuharibu ndoa

Unajua sababu ya malalamiko haya kuwa wanaume hawajui kuongoza? Sikiliza, kwa taarifa yako mwanamume ameporwa uongozi wake. Huu mfumo mpya wa haki sawa umeishambulia moja kwa moja taasisi ya ndoa. Ule mgawanyo wa majuku umefutwa rasmi na sasa mke anaweza kuwa mume na mume kuwa mke. Kwa mantiki hiyo ni lini utauona uongozi wa mume? Ndio chanzo cha dharau, viburi, majigambo, matukano n.k. na yote haya yanatetewa na "mfumo rasmi," Ni aibu sana zama hizi kusikia mwanamke akilalamika nmume sio kichwa, wakati yeye mwenyewe anajiona kichwa kwa matendo yake.
Nini chanzo cha kuporwa? Ni wanaume kutokujielewa na kukosa busara. Hata hao mabibi zetu mnaowaona walikuwa wavumilivu ni sababu ya busara za mababu.
Lakini hata hivyo nyakati zimebadilika. Wanawake walikuwa hawapati Elimu na hata akisoma aruhusiwi kufanya kazi. Miaka ya nyuma ya themanini mwanamke akiolewa kama alikuwa mfanyakazi basi ataachishwa kazi alee familia akiwa nyumbani full time.

Sasa hivi mwanamke ana Elimu na ana kazi au biashara lakini pamoja na kuishia kufanya kazi au biashara kwa kiwango cha chini (Yaani wengi walioolewa hawawezi kuwa na so called mishemishe) bado mwanaume anaona kipato kinampa kiburi mke wake

Acheni kutaka utukufu...acheni kutaka kuabudiwa na wake zenu muwaone kama wasaidizi na sio wajakazi ambao hawastahili Kukaa karibu na bwana wake na kujadiliana.

Na hako kamsemo kenu eti mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja ndo kanawatafuna balaa.... Mla huliwa

Wanaume iweni na hekima...
 
Mimi nagonga like tu leo
Mimi nakuiga wewe hapa ila I am going an extra step by trying to see members wana-like nini na nini hawa-like, na hicho kinanifanya nijifunze mengi tu kuhusu hawa members.

Kwa mfano angalia post ambazo zeshchriss ana-like na angalia post za maana ambazo watu wanaruka kama hawajaziona utajua ni nini namaanisha.

Kwako mwalim kashasha
 
Mungu anapenda tufwate amri zake.
Humkataza mtu kufanya Jambo fulani lakini maamuzi ya kutii au kutotii yapo mikononi mwa huyo mtu.
Hao wazee wa zamani mfano Suleiman unadhani dhambi ya kuoa wake wengi ilimuacha salama!???

Msitake kuhalalisha dhambi kwa sababu eti watu fulani walifanya,dhambi Ni dhambi tu.
Hakuna sehemu inayomtaka mwanaume aoe wake wengi ama awe na mahusiano ya kimapenzi na watu wengi.

Kuhusu kuacha wazazi si kwa mwanamke tu!,bali Ni pande zote
Efe5:31

Mwanaume kuumbwa imara haimaanishi huo uimara autumie kufanya dhambi..
Unaposema hakuna sehemu inayomtaka mwanaume aoe wake wengi unamaanisha nini???
 
Modern marriages. Zimejaa must knows nyiingi lakini migogoro ndio inazidi tu kila siku. Jibu la ndoa ni moja tu, nalo ni chungu kama mchunga: mpango wa Mungu ulikuwa mke asiwe amewahi kuonja dyudyu kabla ya ndoa. Mume amjue mke akiwa bikra, hili lina maana kubwa sana. Kufanywa hovyo kabla ya wakati kunampa ujuzi mwanamke wa mema na mabaya. Siku akipata mume kwenye ndoa atakumbuka dudu la anko Sam wa enzi zile, na la bwana Masoud, walivyokuwa wakimpa burudani tofauti na anayoipata sasa. Huu ndio mwanzo wa kozi na semina nyiingi za "ukitaka kumridhisha mwanamke..." Yaani inabidi kifunguliwe chuo cha jinsi ya kumridhisha mwanamke ambaye amepitia vyuo mbali mbali mtaani, akaonja saizi mbalimbali, akakunjwa kwenye mikao tofauti tofauti, halafu aje aridhishwe na kidude kimoja, chenye staili na ujuzi mmoja tu!!

Umewahi jiuliza, mwanamke aliyeolewa akiwa bikra atakijulia wapi kibamia? Ni lini ataijua staili ya kichwa chini miguu juu kama mumewe hajamfundisha na kumzoesha? Je, ni wakati gani atasema "mume wangu mvivu kitandani?" Yote haya yanapimwa kwa kutumia uzoefu wa nyuma, mtiti aliokuwa akipambana nao kabla ya kuolewa na huyu mume. Na ndivyo inavyokuwa pia kwa mke wa ndoa akiamua kuchepuka, akakutana na ujuzi mpya, hawezi kutulia kwenye wali nyama tu, wakati watoto wa kihuni wanamlisha pizza!! Ndoa utayumba tu, kwa sababu ya ujuzi wa mema na mabaya, hata kama mtahudhuria semina milioni. Hii ni sababu Mungu aliamuru hapo zamani mwanamke wa aina hii auawe kwa kuoigwa mawe tu. Ni kama simba wa Serengeti, akishakula nyama ya binadamu tu, lazima atafutwe auawe, kwani nyama ya mtu ni tamu kuliko, atahamishia windo lake kwenye makazi ya binadamu. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke wa aina hii, hawezi kamwe kutulia, atajitahidi kujificha asijulikane uovu wake. Kama unabisha wasikilize wachungaji kina mgogo wanasema usimchunguze mke. Yaani hii mambo imehalalishwa mpaka makanisani, lol!! Na sasa tumepata wachungaji wafundaji, wakielezea staili nzuri za kumridhisha mke kitandani, disgusting!!

Ndio maana wazee wa zamani walisisitiza bikra kuwa kigezo cha msingi kabisa kabla ya kubariki ndoa. Wachumba wanaingia chemba, washuhudiaji wanakaa nje malangoni kusubiri kitambaa cheupe kinatoka kikiwa chekundu, sio chenye ute. Tena walikuwa na ujuzi wa kuijua damu ya bikra original na feki, kama zinavyotengenezwa na wachina siku hizi. Huu ni ukweli mchungu mno!! Achana na semina za kina Mitimingi, jinsi ya kumridhisha mke n.k. Zamani wanawake walikuwa hawalalamiki wala kukimbia waume zao kufuata dyudyu, lakini leo wanayasaka kwa nguvu ili kupata vionjo tofauti.

Unaniuliza kwa nini mwanamke tu na sio mwanamume? Ha haah, iko hivi. Sisi wanaume hata ukituwekea vishimo vya utelezi mia moja, ni ngumu kusema kipi ni kitamu kuliko kingine. Akili zetu ziko oriented kwenye uelekeo mmoja tu, kukojoa, basi, na ndipo tunafeel utamu wooote. Kama unabisha jiulize, mnufaika mkubwa wa romance ni nani? Ndio maana mwanamume ana uwezo wa kuchukua kahaba muuza mbunye akaingia naye gest na akazama directly na bado akafurahia mapenzi!! Akili zetu zinaamua utamu wa mke kwa mvuto wa nje, sio wa ndani. Ndio maana wanawake mnahangaika kuboresha muonekano wa nje ili kutuzuga kwa urembo feki, na sisi wanaume tunahangaika kuboresha dyudyu zetu na mifuko yetu ya mapesa, ndizo silaha zetu. Six pack peleka magetini ukawe baunsa.

Hudhuria semina zote, fanya yoooote uwezayo, lakini kama kweli unataka kuwa salama kwenye hili, tafuta bikra, ujichanie mwenyewe, afu hakikisha hana marafiki mashakunaku wasijemzibua masikio ukaja kuwa mbaya kuliko waliozoea uchafu huo. Kwa hali ilivyo, dunia haiwezi tena kurejea kwenye moango halisi wa uumbaji wa Mungu, masemina yamekuwa mengi mno, zikitolewa fomula mbalimbali jinsi ya kuwa na ndoa imara, basi WEWE chukua hatua. Fuata ndoa kwa mujibu wa muumba wako ukamfanye kuwa kiongozi wako. Ndoa ya kuyoka kwa Mungu: Kiongozi ni Mungu - mume - mke. Kutokea juu, Mungu anampenda mume, mume anampenda mke na kutokea chini mke anamtii mume na mume ana mtii Mungu. Katika hilo hakuna vidumu, wala michepuko wala dawa za kuongeza saizi.

Msingi mkuu wa ndoa, kwanza mwanamke awe bikra, pili mwanamume na mwanamke wawakiane tamaa ya kupitiliza, sio tamaa ya kutiana tu, itoke moyoni kabisa, tamaa ya kuwa pamoja muda wote, kutokutaka mwenzio aumie, asononeke, ateseke n.k. ndipo wazazi wayapime mapenzi hayo na kama yametoka kwenye nafsi. Watu wa namna hii wakioana basi watazikana tu, iwe mvua iwe jua, hawa watakuwa wameunganishwa na Mungu. Zamani ilikuwa kawaida tu kusikia binti fulani amehamishiwa mbali na wazazi wake ili tu asiolewe na kijana fulani hapo kijijini. Afu tena mnasikia, huko aliko amegoma kula mpaka amuone huyo kijana, hata inabidi wazazi wamrejeshe tu. Siku hizi hakuna hayo, ukimpa mgongo tu washua wanakuchapia, binti wa aina hiyo angerudi na mimba!! Kwa sasa inatosha.

Nasubiri mapovu.
Siku ukipata bikra wa kuoa leta mrejesho mkuu
Bikra bongoo😂😂😂

Wangapi mmetoa watoto wa watu bikra na hamjawaowa?..
Bikra is not everything
 
Siku hizi bikra zinatolewa kupitia tv na movies, uko sahihi. Sasa hiyo inaitwa mind programming, vijana wanakuzwa wakiwa exposed kwenye mazingira ya kingono. Akili zao zinatengenezwa kufanyana tu, ndio maana kuna matukio mengi ya vitoto kuingiliana. Sio kwamba wanasikia hamu no, ni copy and paste, sio utashi wa ndani bali ni mahitajio ya wakati huu.

Kusema naongelea miaka ishirini nyuma ni sahihi, ila sio sawa kusema ni irrelevant labda kama hujaelewa hoja. Mimi najaribu kuangalia asili ya ukengeufu huu na jinsi tulivyojikuta tumefika hapa tulipo. Hii ni hoja fikirishi tu, mambo ya utandawazi ni mfumo wa maisha tu ambao binadamu ameamua kuukumbatia, ubaya ni kwamba kizazi kinalelewa kuamini kuwa mfumo huu ndio sahihi. Ni sawa na miaka ijayo mtu mmoja ataandika kusrma zamani wazee walipinga ushoga, wakati huo mapenzi ya jinsia moja yataonekana kawaida na kizazi kile.

Kuhusu kuwapatiza wana maovu kizazi hadi cha nne, hii ni torati na ni irrelevant kwa kizazi hiki labda kama husomi biblia, kwani imeandikwa mwana hatouchukua uovu wa baba yake n.k. Ndoa yoyote iliyounganishwa na Mungu inapaswa kudumu. Lakini jua tu kuwa Mungu sio mbadala wa utashi wako kama hujamkaribisha afanye hivyo. Hilo ni somo jingine, ndio maana tunafunga ndoa makanisani halafu tunazini humo humo. Ili kudumu inabidi kumuomba Mungu awafanyie moyo mpya, usiojaa michakachuo.

Mke ni msaidizi ni kweli tupu. Kufanana naye ni kitu kingine kabisa, wewe hufanani na mkeo kwa sura wala tabia, mkeo na wewe ni nafsi hai. Kumbuja mke alitoka mwilini mwa mume, hivyo ni sehemu yako wewe mume. Mke yupo kukukamilisha ndipo muwe mwili mmoja. Anayekukamilisha hafanyi hivyo kwa kuiga ubaya, labda kama hujasoma biblia. Matendo mema ya mke yatamvuta mume pia, sio hilo unalosema wewe. Ndoa sio mashindano, ila kwa huu mtazamo wako wa mwaga mboga nimwage ugali, ndoa haiwezi kuwa salama. Na ndio ndoa za kisasa unazozisema, tofauti na kale ambapo mume angweza ku,pelekea mke mtoto na kusema ni damu yetu hii, nilipitiwa nikazaa nje. MUME CHEPUKA MKE ACHEPUKE ni ndoa makahaba wasioelewa ndoa ni nini.
Nilipitiwa nikazaa nje hahha
Afu unataka bikra 😂😂😂😂
 
Kwa mara nyingine narudia tena, upo sahihi sana. Umezungumza ukweli uliotukuka ni wachache sana wenye upako watakuelewa mtukufu..... Nitaomba nikutafute tuweze kujadili ni namna gani tunaweza kuwa na maandiko ya tofauti katika mitandao ya kijamii kuwasaidia hawa viumbe wanaopotea..... Nitakutafuta mkuu naomba ukubali mualiko wangu
Nimemkubali sana jamaa!
 
Hudhuria semina zote, fanya yoooote uwezayo, lakini kama kweli unataka kuwa salama kwenye hili, tafuta bikra, ujichanie mwenyewe, afu hakikisha hana marafiki mashakunaku wasijemzibua masikio ukaja kuwa mbaya kuliko waliozoea uchafu huo.
Hawapatikani labda uoe U10
 
Kasome historia upya, halafu ujue tumekengeuka wapi. Hayo mambo ya binti kutoka kijijini kuja mjini kuzibuka ndio haya tunayosema, zama hizi za uovu. Kama hujui nitakusaidia, zamani wala si miaka mingi, watu walikuwa wanafanya kazi mijini, ukifika wakati wa kuoa wanakwenda kuposa na kuoa vijijini, na wake zao wanadumu kwenye ndoa. Wengi wao ndio hawa wazee wetu wanaoishia sasa. Sasa hizo skills zilikuwa wapi? Kitchen party ni za juzi tu, sijui unaongelea nini. Kizazi cha utandawazi hiki, ndio maana unaona haiwezekani.
waliopata kazi mjini walitokea vijijini brother huko walifundishwa skills za maisha...
 
Umeandika ukweli mtakatifu. Nadhani kabla ya kuandika huu uzi utakuwa ulishusha sala nzito sana ya upako.

Ni kweli bikra ni utakaso wa mwanamke aingiae katika ndoa. Na inapotokea hana bikra basi utakaso wake unakosekana. Leo wanawake wanaingia katika ndoa wakiwa na lawama ya usaliti ndani ya mioyo ya waume zao. Maana wanaume hawa wanajua tu kuwa huyu ninaye muita mke wangu alishaingiliwa na mtu au watu kadhaa kipindi cha nyuma na tukishazoeana ni rahisi sana yeye kuwarejea na kuangukia kishawishini.

Kimsingi kwa sasa ndoa takatifu ni chache sana na ni za bahati, ndoa nyingi zinabeba laana ya uzinifu na ni aina ya ndoa naweza sema za kusaidiana.

Dunia hii ya leo si kama ya zamani, ambapo jamii imejisahau sana katika kusimamia kitu kimoja muhimu sana, purity.

Ukosefu wa purity katika ndoa ndi msingi wa uovu unaoanzisha mizizi yake kutokea katika familia yenye wazazi walio na mwanzo wenye dhambi ya uzinifu.

Sijajua hili somo litawagusa mabinti wa ngapi, ila najua wengi wao kutokana na kujawa na viburi na kukosa adabu na maadili watakuona wewe unawakosea wao utadhani uliwavua chupi ili wakapitiwe na dudu la yuyu.

Watakuja hapa na hoja za kutuhumu upande wa pili as if hii ni debate ya "Money is the source of all evils" na lengo ni kujibizana ili kushinda.

Anyways huu ndio mfumo wa maisha watu wameona ni wa kuukubali. Ila yupo ambaye ndie muamuzi wa mwisho.
If purity kept a man faithful to you..all women would still cherish their purity

Blunt truth is purity sijui bikra haitulizi mwanaume
So it doesnt matter
Acha watoto wagawe q.uma ndugu mwandishi
 
Binafsi yangu nguo nitamvulia mume wamgu.

Kwa case hii ya mada,,,,unadhani mwanamke angevua nguo Bila kushawishiwa na mwanaume??
Kwanini uende kumshawishi akuvulie nguo?
Kumbe bila ushawishi wa mwanaume mwanamke huyo asingevua nguo.

Unapokubali kulala na mwanamke halafu mwisho wa siku mnakuja kulalamika hakuna mabikra,,mnadhani zitatoka wapi ikiwa ninyi wenyewe mmewatoa!??

Tunapaswa tubadilike pande zote mbili,
Tusiishi kwa kufuatisha namna ya ulimwengu huu,tuishi kwa kuangalia yaliyo juu.
Miili yetu imeumbwa ina mihemko,tamaa lakini tukienenda katika roho kamwe hatutazitimiza tamaa za mwili.
Hongera kwamba umedhamiria kumvulia nguo mume wako.

Kwa case hii ya hii mada, na juu ya swali lako kuhusu namna tunavyodhani kama mwanamke anaweza kumvulia nguo mwanamme bila kushawishiwa, mimi nakuthibitishia wapo wanawake wanaoyushawishi Sisi kwamba wanataka watuvulie nguo.

Wanafanya hivyo kwa unyenyekevu, kutuomba na kadhalika na kadhalika.

Nikuhakikishie tu mdogo wangu, mwanamke ndio mwenye obligation ya kukataa au kukubali kuvua nguo regardless ya kiwango cha ushawishi kutoka kwa mwanamme
 
Unajua sababu ya malalamiko haya kuwa wanaume hawajui kuongoza? Sikiliza, kwa taarifa yako mwanamume ameporwa uongozi wake. Huu mfumo mpya wa haki sawa umeishambulia moja kwa moja taasisi ya ndoa. Ule mgawanyo wa majuku umefutwa rasmi na sasa mke anaweza kuwa mume na mume kuwa mke. Kwa mantiki hiyo ni lini utauona uongozi wa mume? Ndio chanzo cha dharau, viburi, majigambo, matukano n.k. na yote haya yanatetewa na "mfumo rasmi," Ni aibu sana zama hizi kusikia mwanamke akilalamika nmume sio kichwa, wakati yeye mwenyewe anajiona kichwa kwa matendo yake.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Nini chanzo cha kuporwa? Ni wanaume kutokujielewa na kukosa busara. Hata hao mabibi zetu mnaowaona walikuwa wavumilivu ni sababu ya busara za mababu.
Lakini hata hivyo nyakati zimebadilika. Wanawake walikuwa hawapati Elimu na hata akisoma aruhusiwi kufanya kazi. Miaka ya nyuma ya themanini mwanamke akiolewa kama alikuwa mfanyakazi basi ataachishwa kazi alee familia akiwa nyumbani full time.

Sasa hivi mwanamke ana Elimu na ana kazi au biashara lakini pamoja na kuishia kufanya kazi au biashara kwa kiwango cha chini (Yaani wengi walioolewa hawawezi kuwa na so called mishemishe) bado mwanaume anaona kipato kinampa kiburi mke wake

Acheni kutaka utukufu...acheni kutaka kuabudiwa na wake zenu muwaone kama wasaidizi na sio wajakazi ambao hawastahili Kukaa karibu na bwana wake na kujadiliana.

Na hako kamsemo kenu eti mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja ndo kanawatafuna balaa.... Mla huliwa

Wanaume iweni na hekima...
Thanks bruuh
 
Back
Top Bottom