Semina ya ujasiriamalo mwanza

bereng

Senior Member
Feb 5, 2013
114
21
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA

Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza wataendesha semina ya ujasiriamali, katika ukumbi wa Victoria Palace. Semina hii itaendeshwa kwa siku ya 3 kuanzia tarehe 13/12/2013 hadi tarehe 15/12/2013. Kiingilio kwenye semina hii ni sh 25,000 kwa kila mshiriki.

Mwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na mtunzi wa
kitabu cha Mbinu za biashara. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1.Maana ya Ujasiriamali
2. Siri ya utajiri
3.Namna ya kuanzisha biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
5. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
6. Jinsi ya kuandaa mchanganuo
7.Maswali na majibu.

Kwa wale ambao watataka kuhudhuria semina hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0768955185
 
Back
Top Bottom