Semina ya ndoa

KUKUBALIANA namanisha kupendana kidhati
bt km nimekubali unioe ili nifaid utajiri wako wat do u thk afta marrriage?nitakuwa mke anayejua majukumu yake?
-km nimeolewa kwa fashen tu wat do u thk?ntwaweza kweli kuish katika mising ya ndoa?????
ndoa asilimia 90 siku izi watu wanaoana kwa sababu maalumu lakin si kwa sababu wamependana kidhati
--mind u km mmpendana sana kidhati kaka yangu ata km hamjapewa semina sijui mafundsho ya ndoa mtaish vyema tu tena bila ugomv na kila mmoja atapafom dutyu zake accrdngly....tofaut na KM HAMJAPENDANA NA MKAPEWA SEMINAR HAITAWEK KWA SABABU MSING WA AYO MAFUNDSHO KUWORK HAKUNA...!!!!!!!
thats y i lk u
 
Lakini naona hii ni kama nature! kwa sababu ndoa ya kwanza (tunavyamini sisi wakristo) ilifungwa na mungu pale bustani ya edeni. Wakapewa maagizo yooooteeee lakini mwisho ya yote wakageuka na kufanya waliyokatazwa. Na alianza kukosea ni hawa (wakina dada/mama muangalie hili sana)

Pole sana kaka hivi umekuja kunioa kwa sababu ya pesa zangu, kweli nilikuwa nakubembeleza sasa ndani unataka nikupe hela halafu nifanye na kazi za nyumbani hujatulia kabisa wewe osha vyombo, piga deki, mlishe mtoto na kumuhudumia nikirudi jioni nikute kila kitu kiko sawa hakuna kutoka mpaka niamue tumeelewana? huwez timua nitafute mario mwingine halafu mimba ya pili utabeba wewe utajua utajifunguaje (sio wewe umesema unataka mwanamke mwenye pesa wewe sa unalalamika nini)

 
Mimi ninaongea kwa uzoefu maana nimehudhuria mafunzo hayo!

Ni KWAMBA MAFUNZO YALE NI KAMA MAFUNZO MENGINE YOYOTE yanayotolewa kwa mtu na yakadharauliwa!..Chukua mfano wa mafunzo ya ukimwi, nasikia wale wenyewe wanaotoa semina wanazungukana ile kinyama...Lakini pia, ukiacha semina za kanisa, siku ya harusi kunakuwa na NASAHA NZITO toka pande za wazazi zote 2, nasaha za MC, na wote waliohudhuria nia yao ni kuwatakia maisha mema, lakini sikio la kufa halisikii dawa!

Mimi nimevihifadhi sana vitabu nilivyopewa kwenye smina hizo na vinatusaidia sana na mywife wangu, kwahiyo kwa upande wangu semina hiyo ilikuwa constructive sana!
Nawsilisha!

Kweli umenena!
 
Pujianto-Cahyo-Widiyanto.gif


Hata ukitoa mafunzo ya namna gani, hakuna furaha ndani ya ndoa kama haikupangwa na Mungu. Watu mnaokotana tu kwenye mitandao kila mtu na tabia zake. Unadhani semina inaweza kumbadili mtu tabia?
 
Pujianto-Cahyo-Widiyanto.gif


Hata ukitoa mafunzo ya namna gani, hakuna furaha ndani ya ndoa kama haikupangwa na Mungu. Watu mnaokotana tu kwenye mitandao kila mtu na tabia zake. Unadhani semina inaweza kumbadili mtu tabia?

Mmmmh, kaaazi kweli kweli! Hili zee zima linakwenda kujipinda juu ya mwili wa kibinti cha 12 yrs!
 
Back
Top Bottom