Semina ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Nov 10, 2010.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kabla ya kufunga ndoa (kwa wakristo sijui kwa waislam na wengineo) huwa kuna semina iwapasayo kuhudhuria na huwa inakazia juu ya maisha ya ndoa, Baada yapo ndipo watu hufunga ndoa na kuanza maisha ya ndoa!
  Hizi semina zinasaidia chochote kweli?
  Maana kila kukicha ni ma ugomvi ya ndoa na kuvunjiaka
  Au pale kwenye semina hawa wanandoa huwa kama mapicha ya mekaa tu wala hawajui kinachoongelewa wakati huo?
  Hii ni ajabu kabisa
   
 2. F

  Ferds JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  we umeoa au bado?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  utajibiwa
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Zinasaidia kama kile ulichofundishwa utakiweka kichwani na kukifanyia kazi otherwise kama unakuwa tu excited kuoa ama kuolewa na unasahau mengine ndio hapo vilio vinaanza
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mimi ninaongea kwa uzoefu maana nimehudhuria mafunzo hayo!

  Ni KWAMBA MAFUNZO YALE NI KAMA MAFUNZO MENGINE YOYOTE yanayotolewa kwa mtu na yakadharauliwa!..Chukua mfano wa mafunzo ya ukimwi, nasikia wale wenyewe wanaotoa semina wanazungukana ile kinyama...Lakini pia, ukiacha semina za kanisa, siku ya harusi kunakuwa na NASAHA NZITO toka pande za wazazi zote 2, nasaha za MC, na wote waliohudhuria nia yao ni kuwatakia maisha mema, lakini sikio la kufa halisikii dawa!

  Mimi nimevihifadhi sana vitabu nilivyopewa kwenye smina hizo na vinatusaidia sana na mywife wangu, kwahiyo kwa upande wangu semina hiyo ilikuwa constructive sana!
  Nawsilisha!
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lakini naona hii ni kama nature! kwa sababu ndoa ya kwanza (tunavyamini sisi wakristo) ilifungwa na mungu pale bustani ya edeni. Wakapewa maagizo yooooteeee lakini mwisho ya yote wakageuka na kufanya waliyokatazwa. Na alianza kukosea ni hawa (wakina dada/mama muangalie hili sana)
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimekubali mkuu
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wengi hata huwa hawana muda wa kupitia walau mara moja kuangalia kwenye hivyo vitabu siku wakiishafunga ndoa ndio imetoka
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  semina zile km formalities nyngne tu
  -km hamjajiandaa kiakili na kwa vitendo kuish kindoa may dear sweeeet hat braza ili semina haisaidii chochote
  -swala la watu kuish pamoja linajumuisha mambo meng baina yenu wawili na si klwa utegemez wa nguvu za njia eg seminar,maneneo ya wazaz,ushaur wa marafiki
  -ni nyinyi mkiamua kuisimamia show bas ndoa inasmama lakin km nyinyi wawili HAMJAFIX KUWA PAMOJA BAS daah 3world war daily home kwenu.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wana hulka za ajabu sana immediately baada ya kufunga ndoa anarudi kule kule alikokuwa mwanzo
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145

  Wajiandae mara ngapi, mtu huwezi kufikia hatua ya kufunga ndoa halafu unasema ulikuwa bado haujajiandaa kiakili nakataa kabisa sababu hayo ni maamuzi yenu wote wawili
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu wanandoa to-be huenda pale kwa utashi wao (hamna sitting allowance) na kwa wingi inapasa nikubali zinasaidia sana. Na kitu chema kwenye hizi semina ni kuwa "wafundishaji" ni kutoka katika "all walks of life" : Mapadre/WanaNdoa wa siku nyingi/WanaNdoa wapya/e.t.c" inawafanya wana ndoa to-be kupata uzoefu ulio sahihi wa MAISHA YA NDOA

  Lakini inakupaswa kufahamu kuwa "siyo kila mtu aliye elimishwa ameelimika"! Sababu za ndoa kuvunjika na vurugu zisizokwisha ni swala pana sana ambalo hata kwenye hizo semina huwa wale "wzoefu" wanajaribu kutoa mifano mingi tu ya ndoa zilizoshindwa au ambazo zinaweza kushindwa.

  Kwahiyo, Kimbweka, fanya hima, nenda Msimbazi Centre upata "SOMO" - na mkeo mtarajiwa pia - this is more than kitchen-party!
   
 14. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mtu haishi kwa mkate tu. Ili ndoa kudumu na kuwa ya upendo na kuvumiliana inahitaji mambo mengi ikiwa ni pamoja na mengine kutoka nje ya wahusika kama semina ushauri NK. Hinyo naamini semina zinasaidia kwa wale wanaojali nakuona umuhimu wake. Kila mtu anajifunza na kuelewa, ila asipotaka kujifunza au akajifunza lakini akagoma kuelewa basi hawezi kuelewa, semina ni mhimu kwa wanandoa.

  Nawasilisha hoja
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  KUKUBALIANA namanisha kupendana kidhati
  bt km nimekubali unioe ili nifaid utajiri wako wat do u thk afta marrriage?nitakuwa mke anayejua majukumu yake?
  -km nimeolewa kwa fashen tu wat do u thk?ntwaweza kweli kuish katika mising ya ndoa?????
  ndoa asilimia 90 siku izi watu wanaoana kwa sababu maalumu lakin si kwa sababu wamependana kidhati
  --mind u km mmpendana sana kidhati kaka yangu ata km hamjapewa semina sijui mafundsho ya ndoa mtaish vyema tu tena bila ugomv na kila mmoja atapafom dutyu zake accrdngly....tofaut na KM HAMJAPENDANA NA MKAPEWA SEMINAR HAITAWEK KWA SABABU MSING WA AYO MAFUNDSHO KUWORK HAKUNA...!!!!!!!
   
 16. Julz

  Julz Senior Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapo inategemea kwann watu waliamua kufunga ndoa...1. demu kashika mimba 2. Ili wapate watoto 3. Wazazi wamelazimisha 4. Niwe kama marafiki zangu 5. Kuoa ni lazima 6. Mapenzi 7. etc etc etc kwaiyo ukicheki watu walio wengi huingia ktk marriage kwa mitazamo tofauti tofauti na wala sio suala la kupata the right partner wa kuishi nae milele....
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ivi ennh?
  msimbazi wanatoa tution izi?
  najuaga makanisan wanatoa km mkideclare kabsa ndoa...thax 4the info
   
 18. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Thanks mkuu nataka nifunge ndoa na ROSE
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  toka uko
  ..ur nt hubby material....m kidng bana!!!!!!
   
 20. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Siyo rose wewe wapo wengi
   
Loading...