Elections 2010 Semina vijijini

jensen

Member
Oct 31, 2010
22
0
Wana jf mnaonaje tukitengeneza grouops kutembelea vijijini ili kutoa elimu ya uraia, na kuwa wezesha wananchi walio kosa elimu hiyo kuwa nayo, nadhani ndio yatakuwa mapinduzi ya kweli, ili raia wajue kiongozi bora na nini anatakiwa kufanyiwa na kiongozi wake..ila kama itawezekana tuanze baada ya uchaguzi katika maeneo tulipo then tusambae,..nimegundua wananch wengi hususani vijijini hawajui haki zao kwa viongozi wao...mapinduzi kwa wenye nia,hutetea sauti za wanyonge
 
Niko tayari kwa sababu hawa jamaa wanatumia uelewa mdogo wa watanzania wa vijijini ku-root nchi hii :der::der:
 
Tuanze taratibu mpaka uchaguzi ujao tutakuwa tumefanikiwa kwa asilimia 95 na kuendelea, ili tuweze kukomboa kizazi kijacho tumekuwa tukipoteza rasilimali nyingi sana, na sito penda ziendelee kupotea, sisi ndio wa kulikomboa taifa letu lenye kila aina ya utajiri..
 
Napanga kufanya kazi kama hiyo lakini nikigusa zaidi haki za wananchi juu ya maliasili na haki ya kuwajibisha serikali katika maeneo yao kwa nchi nzima pindi nikirudi nyumbani.
 
sawawa wazo zuri mkuu hii ni kweli kabisa na ndio maana kuna wana sociologia wanasema inorder to obtain real changes mass consciousness is necessary. na ni kwa wale waliobahatika kupata elimu na uelewa ndio watakuwa chanzo cha mabadiliko kwa hawa wengi
 
Tusubiri kwanza wabunge wetu waapishwe tuwaite kikao manake tunataka mabadiliko yaanze kuanzia ya kwanza watu wachape kazi hili 2015 ikifika tofauti hiwepo kati ya miaka 5 ya ccm na miaka 5 ya upinzani.
 
Back
Top Bottom