#COVID19 Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,890
939

SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI TAREHE 27/11/2021 kwenye Semina na Wanahabari na watu Mashuhuri katika mitandao kuhusu Afua za Kinga ya UVIKO-19 pamoja na Chanjo.


Semina hii itatolewa kupitia Mtandao wa Zoom ila Utaweza kufuatilia LIVE 🎥kupitia mitandao yetu ya Instagram, Facebook, Twitter na Youtube.


Watoa Mada

✅Dr Aifello Sichwale Kufungua kongamano la wanahabari

✅Dr Florian Tinuga MoH - zoezi la uchanjaji na upatikanaji wa chanjo ya UVIKO -19

✅Prof Deodatus Kakoko MUHAS - Mila na desturi kuhusu chanjo ya UVIKO -19.

✅Dr Ama Kasangala - Utekelezaji wa mkakati Harakishi na Shirikishi kwa jamii Kuhusu UVIKO 19.

✅Gerson Msigwa - Msemaji Mkuu wa Serikali - Nafasi ya wanahabari katika kuhamasisha chanjo ya uviko 19.

@gersonmsigwa @msemajimkuuwaserikali @ama.sendi @phelisterswegesa_ @wizara_afyatz @amreftz @amrefhealthafrica

IMG-20211126-WA0029.jpg


IMG-20211126-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom