Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Dah! Huu udhalilishaji sasa. Kwani kafanya kosa gani lililothibitishwa kulengwa hivi?
 
Huyu Dada anafanana na manzi mmoja ...enzi hizo MABIBO Histol sijui. Block gani🙄🤔 walikuwa wanamzuchie eti analuwa na kibosile mmoja,na kibosile alinogewa Hadi alikuwa analala MABIBO Hostel.....kwa mtindo wa kuwapiga watu exile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom