Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Inadaiwa hivyo Mkuu sasa jamaa kanuna uongo mwingi blah blah blah na kuruka na TANAPA kumbe jamaa kamvua picchu manzi wake. Kuna wengine kawaacha kwenye baraza haramu la mawaziri hatusikii kuwasema sababu za kuwaacha ila kamshupalia Kigwa kuchapiwa kubaya na binti imemkosesha Ubunge wa viti maalum na labda hata uwaziri.
Huyo kigwa Hana adabu aisee
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Jamaa anawadukua mnoo na pia kuna watu wanafuatilia kila linalojiri na kumpa ripoti. Nape alijikomba kuomba samahani lakini jamaa bado kanuna 😂😂😂😂😂
Huyo kigwa Hana adabu aisee
 
Jamaa anawadukua mnoo na pia kuna watu wanafuatilia kila linalojiri na kumpa ripoti. Nape alijikomba kuomba samahani lakini jamaa bado kanuna
Duh hyo noma Sana hyo kudukuana loh, anajua yote a to z.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Infact hata Mimi napenda wanawake weupe so msimuonee huyo waziri.

Nikijiweka nafasi yake hata Mimi ningehonga wizara.
 
Inadaiwa hivyo Mkuu sasa jamaa kanuna uongo mwingi blah blah blah na kuruka na TANAPA kumbe jamaa kamvua picchu manzi wake. Kuna wengine kawaacha kwenye baraza haramu la mawaziri hatusikii kuwasema sababu za kuwaacha ila kamshupalia Kigwa kuchapiwa kubaya na binti imemkosesha Ubunge wa viti maalum na labda hata uwaziri.
Yupo mzee hata kwa code
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom