Semeni hizi mali zipo, ziko wapi? Tutarudishiwa au ndio basi?

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
952
346
CCM huko nyuma ilichukua pesa kutoka serikali kuu na kuanzisha miradi ya kiuchumi. Kulikuwepo na maduka mf super market pale kidongo chekundu, kilimo na kufuga samaki bonde la msimbazi, mahotel, viwanja vya michezo, nk. Hivi vyote hatuvioni kabisa au kama vipo ni magofu. Lile neno SUKITA halitajwi kabisa. Kwa kuwa hii pesa ilitokana na mikopo ya muda mrefu kwa serikali kuu wakati chama kimeshika patamu, sasa miradi iko wapi? CGA anataarifa nayo? Je madeni yake tunaendelea kulipa watz wote? Kuna tunaloweza kujifunza kutokana na yaliyojiri ktk eneo hili?
 
Akili za maccm zimedumaa, mpaka tuwakamate kama kuku ndo watastuka!

Ngoja chadema tukamate nchi yetu mali zote tunarudisha serikalini
 
Akili za maccm zimedumaa, mpaka tuwakamate kama kuku ndo watastuka!

Ngoja chadema tukamate nchi yetu mali zote tunarudisha serikalini
Kwenu tu mnaibiana je huku kwetu c mtatuibia mpaka tulie? CCM wametuliza, na nyie c mtakuwa wale wale tu?
 
Kwenu tu mnaibiana je huku kwetu c mtatuibia mpaka tulie? CCM wametuliza, na nyie c mtakuwa wale wale tu?

Watanzania hatujajua kama tumeibiwa au la. Inawezekana ikawa hizo mali zimekuwa transformed ktk miradi tusiyoiona, kwa kuwa hilo deni kila mtanzania analipa, ebu shinikizeni ili uwazi wa hili utke.
 
Back
Top Bottom