Sema ulipopata simu ya mkononi kwa mara yakwanza kipindi hicho kuna mobitel

Mi nlikuwa nimemaliza form six ikafika birthday yangu my best daddy in the world akanipa zawadi ya hyo cmu ilikuwa nokia
 
nakumbuka simu ya kwanza mm kumiliki ni nokia katochi. na lain yangu ya kwanza ni celtel.siwezi kudanganya eti mobitel no!:hatari:
 
c25.....mwaka 2003.......nilipewa na mzee....yeye alinunu c28 mpya... akanipa c25 aliyokuwa anatumia......simu ile haikuwa na vibration....full kulia kila wakati...inabid uizime ukiingia sehemu ka bank....but ilikuwa safi...sababu kati ya rafiki zangu wote me peke yangu ndo nilikuwa na simu.....siku hizi hata mtoto wa standard 6 ana simu....duh!
 
mara ya kwanza nilinunua siemens c25 na line ilikuwa dola 25 pamoja na manual book kubwa hiyo ilikuwa 2001
 
book alawansi ilihusika kwa sana kujipatia mobitel yangu ya kwanza! jamani book alawansi!The old good days
 
Duh imekumbusha mbali sana mie nilianza na Mobitel Nokia 101 namba zilikuwa 0811xxxxxx nilipewa na Braza wangu yeye alihamia Tritel na namba 0812 xxxxxx ilikuwa 1998 hiyo
 
mi simu yangu ya kwanza ilikuwa sonny erikson,yaani imekaa redio halafu ina antenna refu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom