Sema ukweli

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hivi Mwanamke anaweza akaamua kumpenda au kuishi na mwanaume ambaye anamzidi kipato hata kama mwanaume huyo hatakuwa mwaminifu kwake kama ndio kwanini.

Hivi Mwanaume anaweza akaishi na mwanamke anaye mzidi kipato hata kama si mwaminifu kwake kama ndio kwanini.
 
Mwanamke kuishi na mtu aliemzidi kipato jiandae kwa lolote dakika yoyote, pale bustani ya Eden Adam alifukuzwa kisa kala cha mwanamke...usiombe!!! Usiombe mwanamke akuzidi japo sio wote ila wengi wetu ni shida
 
Mwanaume niliyemzidi hela wa nini sasa?ni bora tuwe masikini wote tu nijue moja asee
Imagine unahudumia mwanaume!picha inagoma kabisa kuja

Hizo mambo wanaweza watakatifu labda
 
basi utakuwa humpendi, kumhudumia kitu cha kawaida sana kwa umpenadye kwa dhati

Afadhali iwe siku moja moja akiwa hana ila kuhudumia kila siku,kila kitu ni ngumu hata kama nampenda vipi lazima nitatibuka kila akiniomba
 
Afadhali iwe siku moja moja akiwa hana ila kuhudumia kila siku,kila kitu ni ngumu hata kama nampenda vipi lazima nitatibuka kila akiniomba
badilika iyo kizamani sana, kaa naye huwezi jua kesho yake itakuwaje
 
Ni kweli siwezi kujua kesho yake ila kuhudumia mwanaume ni suala lililo nje ya uwezo wangu...siwezi kuvumilia kiumbe cha hivyo
Ukimhudumia halafu ikatokea siku ya siku ukaachishwa kazi yeye akapata kazi nzuri utafanyaje itabidi uondoke umuache aendelee na maisha yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom