Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
Hello,
Kama title inavyo sema,sitaki kusema mengi Binafsi nguo yangu ya ndani naweza kuiva wiki 3 mpaka baadhi ya maeneo yanakua meusi.
Je, wewe unavaa kwa muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Wewe ni mchafu koge", inawezekana hata kuoga lazima ushikiwe fimbo.