Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

Wengi huona fakhari sana suala la kuzini.
Ni uasi mbele ya Mola.

Nimeshafikisha miaka 40+ na nina mke ndiye huyo tu ninayemjua kimapenzi.

Sijawahi kuzini na maisha yanaendelea kama kawaida.

Maisha bila uzinifu yanawezekana.
Uzinzi ni ideology ya dini na mafundisho. Na ni dhana ya mind manipulation. Wazee wetu wa zamani wa kiafrika ambao waliishi kwenye spiritual level kubwa hawakuwa wajinga kuwa na wanawake wengi. In fact, you create your world from your thoughts. Ukifkr kitu flan zinaa achana nacho, coz it makes sense kwako not to everyone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inategemeana na umri ulioanza mapenzi, maeneo uloishi, shule au chuo ulosoma, kazi yako na kiwango chako cha uchumi.

kama hujatembea maeneo mengi, huna kazi ya kipato cha kukutosha, hujichanganyi na watu, hujapitia maeneo kama chuo, umeshika dini sana, umekaa kijijini, huna geto lako na umechelewa kuanza mahusiani na umewahi kuoa (umeanza miaka ya karibunu) huezi fikisha idadi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom