selling photoshop dvds

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Untitled-1.jpg iStock_000002346093Large.jpg
chocolate frog.jpg effects.jpg hippo_cropped.jpg

selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them
 
Attachments

  • noor new york.jpg
    noor new york.jpg
    67.1 KB · Views: 67
  • noor gallery.jpg
    noor gallery.jpg
    38.8 KB · Views: 79
selling photoshop DVDs to computer geeks?:smile-big:, you must be the funniest guy in the whole world! 50,000?? (count the zeros kaka!)

ever heard of the word PIRACY?!
 
Iga Mfano wa kaka zako kina Calvin Power.............. umeingia jamvini kimkwara sana au ndo kina RA/EL/JK mbona hii sio ya site ya kufisadi kaka naona kama umepotea!!!! weka free watu wakuone u ar a man!!
 
selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them

Acha wizi wa mchana mchana

Unauza 50,000 huna aibu.Tena unasema sio orijinal . Unataka kutwaambia hiyo 50,000 ni gharama ya nini??? Ebu ona mcngamanuo huu hapa

  • Gharama ya DVD moja na assume ni Tsh 1,500
  • Gharama ya kuburn DVD moja tufanye ni shilingi 1,000
  • Lets say tulipe na muda wako wa kubrn kila DVD ni 1,000
So kwa hesbu za haraka kwa bei aghali kabisa unatakiwa kuuza hizo Dvd kwa shilingi 3,500 na kwa bei halali unatakiwa kugawa bure au kuuza si zaidi ya shilingi 500.

Teh teh teh
 
Duuuh... huyo harudii tena ndugu yangu...hahahahaha...me love JF
 
Back
Top Bottom