mrlonely98
Member
- Nov 6, 2009
- 94
- 6
View attachment 18218View attachment 18213
View attachment 18212View attachment 18214View attachment 18217
selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them
I hate the word Pay
weka bure bwana
selling photoshop DVDs to computer geeks?:smile-big:, you must be the funniest guy in the whole world! 50,000?? (count the zeros kaka!)
ever heard of the word PIRACY?!
selling 4 phtoshop dvd tutorials (not original) each for 50 thou. these are some very few examples what u can d after finishing them
Acha wizi wa mchana mchana
Unauza 50,000 huna aibu.Tena unasema sio orijinal . Unataka kutwaambia hiyo 50,000 ni gharama ya nini??? Ebu ona mcngamanuo huu hapa
So kwa hesbu za haraka kwa bei aghali kabisa unatakiwa kuuza hizo Dvd kwa shilingi 3,500 na kwa bei halali unatakiwa kugawa bure au kuuza si zaidi ya shilingi 500.
- Gharama ya DVD moja na assume ni Tsh 1,500
- Gharama ya kuburn DVD moja tufanye ni shilingi 1,000
- Lets say tulipe na muda wako wa kubrn kila DVD ni 1,000
Teh teh teh
me 2Duuuh... huyo harudii tena ndugu yangu...hahahahaha...me love JF
Nimependa sana utaalamu huu wa kuchora graphics za namna hii na kuunga na picha live.
Mkuu hii kitu unafanya wewe? big up guy