Sellection za chuo cha udsm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sellection za chuo cha udsm

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BOFREE, Aug 12, 2012.

 1. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Jamani mbona sijaona walio chaguliwa udsm kwa kigezo cha NTA L6 wote ni form six leavers
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa mkuu...
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Nyie subirin awamu yenu!
   
 4. a

  asiahh Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona siyaoni majina ya waliochaguliwa
   
 5. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Mkuu namaanisha kuna selection wadau wameitoa ya watu waliochaguliwa chuo cha udsm mwaka 2012/2013 ila ni ya walioomba kwa kutumia cheti cha form six tu so wapo wengine wameomba kwa kutumia cheti cha diploma mkuu
   
 6. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  namaanisha kuwa wadau wameleta link ya walio chaguliwa chuo cha udsa mwaka 2012/2013 ila wote ni wlioomba kwa kutumia form six je vp kuhusu waliomba kwa kutumia kigezo cha NTA l6 (diploma)
   
 7. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mkuu kama we ni mdau wa mjengoni ungekua umeisha yaona yapo mjengoni (JF)
   
 8. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  yapo mjengoni(JF) muda mrefu
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  yap nshaelewa mkuu......
   
 10. G

  GHANI JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nendeni vyuoni ''jf more traffic jam''
   
 11. a

  asiahh Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nielekeze bas mana mi mgeni hapa ndo sehemu gani ntakapo yapata hayo matokeo
   
 12. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wekeni link hapa waliopo nao wayaone badala ya kumwambia ayatafute.
   
 13. BOFREE

  BOFREE Senior Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Angalia jf kwenye education forum utaona post imeandikwa TCU SELECTION APLOAD ifungue utayaona mkuu
   
 14. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Kuwa na amani, yaliyotoka siyo mambo ya kuaminika. Nadhani kuna mtu aliibia kitu ambacho not yet public. Just be calm, kama ulifanya vizuri utachaguliwa tu. If it were me, I will just rest and wait.
   
 15. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  cheki kwenye thread zilizopita kwenye jukwaa la elimu utaona imeandikwa udsm seletion 2012-2013...embu jaribu mkuu...KARIB JF JUKWAA HURU,JIHADHARI NA BAN...
   
 16. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupeni na hiyo link kwa wale waliomba kwa sifa linganishi
   
 17. bugumiamandela

  bugumiamandela Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  xo unamaanisha kuwa hayo majina ni ya wale waliochaguliwa na TCU au vip ?
   
 18. bugumiamandela

  bugumiamandela Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi hapa bado nachanganyikiwa kwani kuna wengine wanasema kuwa wamechaguliwa na sijui ni utaratibu gani huuuuuuuuuuuuu
   
 19. M

  Muddy msangi New Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua mpaka saiv sijaiyona hiyo attachment ya selectn za udzm plz help me brah
   
 20. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  tafuta uzi ulioandikwa selectn upload TCU then utayaona
   
Loading...