Selikari ya tunisia inajiuzuru sasa sisi tunasubiri nini jaman wana jf

Karandanya

Member
Jan 11, 2011
28
0
Kiukweli nimefurahi sana waafrika tumeamka sana jana kwenye vyombo vya habari eti waziri mkuu atajiuzuru na kuachana na mambo ya siasa baada tu ya uchaguzi wa nchi yao sasa swali, je sisi tunashidwa kwa nini jaman cku zote haki aiji adi nguvu ya zianda itumike hii selikari cyo jaman :behindsofa:
 
KAA HIVOIVO NA JINA LA YESU KWAN ATA HOA WANAOFANYA UPUMBAVU UNATHAHAN HAWAMJUI YESU CKIZA MARIGWE HAKUNA TAMU ICYO NA CHUNGU ATA CKU MOJA AMOUT:behindsofa:
 
Kiukweli nimefurahi sana waafrika tumeamka sana jana kwenye vyombo vya habari eti waziri mkuu atajiuzuru na kuachana na mambo ya siasa baada tu ya uchaguzi wa nchi yao sasa swali, je sisi tunashidwa kwa nini jaman cku zote haki aiji adi nguvu ya zianda itumike hii selikari cyo jaman :behindsofa:

Kwanza, chochea waziri wa umeme Ngeleja ajiuzulu ndpo tutajua you are serious!!!!!!!!!!!!!!! Kwanza amegangamala kwamba deni la Dowans ni lazima lilipwe; na pili ameidhinisha Tanesco kuongeza gharama kwa 18%!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom