Selikali iruhusu Analogia, Digitali miyeyusho Sana

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,226
7,999
Sio mtaalamu sana wa kuanzisha nyuzi ila daah nafikiri selikali iruhusu mifumo yote miwili katika kurusha matangazo ya televisheni yaani Analog ifanye kazi sambamba na digital.

Hoja yangu iko kwenye gharama kwa sisi watazamaji na ile ahadi ya chaneli za ndani kuwa ni bure. Sasaa naamka hapa nakutana na litibisii wakati zamani ningezipata zooote kwa kiantena tu tena cha ndani. Selikali itafakari upya na kuruhusu mifumo yote miwili.

Nimalizie na kuomba kuhusu kodi kwa viongozi isiishie kwenye kiinua mgongo tu, hata mapato yao mengine kama mishahara na posho vilimwe kodi.
Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom