Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,753
- 26,864
Au bhas
😂 utajua wewe.Nikiona manyoya
Nijiongeze sio
Wewe ni chiziIna nyota ya kilokole
Nani anataka
Mkuu, nakuomba faragha mara moja. ASAP
Au basi nini?
Au bhas
Yaan wewe dots zako huwa unaconnect kimakosa sanaUmeongea kinyongee
Elewa tu
Halwa haina makombo
Nipikie na mie bwana
Unafaidi Sana madamNingekua huko ningekuletea mama mchungaji huku wananzengo na wanafunzi wananileteaga mengi balaa
yani mihogo magimbi viazi karanga ndizi mboga za majani maparachichi kwa wingi sana!!
Mama Junia unywele unakuja speedTupumzishe emoj
Mjep nimepumzisha emojView attachment 2230374
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mzima kabisaYaan wewe dots zako huwa unaconnect kimakosa sana
Uko poa lakini??
Wazazi wangu walikuwa walimuUtajua
Hujui
hapa nimeletewa parachichi na machenza!Unafaidi Sana madam
Mdada mwenye uzuri wake.Sponsored by rafiki yangu wa form 1!
View attachment 2230375
Sponsored by rafiki yangu wa form 1!
View attachment 2230375
Speed ya mchongoMama Junia unywele unakuja speed