Selfika na JF: Snap it. Show it

For first time in years, I'm enjoying convo in public transport. Kuna Jamaa ameweka ligi na kina mama hapa kwenye gari kuhusu wanawake kutotimiza majukumu yao na kusababisha wababa kupita na wafanyakazi. It's very interesting and people are actually enjoying the time of their life. Been long since I witnessed abiria kuengage kwenye maongezi kama haya
 
Back
Top Bottom