Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,459
- 78,641
hebu urudie!!! Jamanii!! Upo zaidi ya fastaaa
hebu urudie!!! Jamanii!! Upo zaidi ya fastaaa
Mjukuu wangu unaye huko Zanzibar? Hajaoneka nyumbani tangu juzi. Lipate la kukupata huko visiwani dadekiWe mzee tuache tulale bana!
Safiri salamamixture of feelings.View attachment 2085683View attachment 2085684
AmenSafiri salama
Kwa hiyo umeondoka bila kuja?Ila hakuna raha kama kuangalia magari yakiwa yanatoka.
It is fun
Karma mnyama wako ametangulia dk kama 15 mapema.
Nitashangaa akichelewa kufika.View attachment 2085708View attachment 2085709View attachment 2085710
Huwa naenjoy sana nikiona yanavyokimbizanaIla hakuna raha kama kuangalia magari yakiwa yanatoka.
It is fun
Karma mnyama wako ametangulia dk kama 15 mapema.
Nitashangaa akichelewa kufika.View attachment 2085708View attachment 2085709View attachment 2085710
Tulia mzee!! Sasa ningekuwa sijamchukua huku wewe ungemfanya nini huko zaidi ya kumwangalia kama unasoma gazeti!?Mjukuu wangu unaye huko Zanzibar? Hajaoneka nyumbani tangu juzi. Lipate la kukupata huko visiwani dadeki
Wige kunani na Busokelo?Hivi wewe pia
Ni wa Busokelo
HsWige kunani na Busokelo?
Yanaleta raha mno.Huwa naenjoy sana nikiona yanavyokimbizana
Unakwenda wapi kwani
Mimi nipo naupiga mwingi.Kwa hiyo umeondoka bila kuja?