Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,546
- 225,121
MweeMweeh, ila angalau hutusumbui kama mdogo ako wa tumbo moja
Napigwa majungu🤣🤣🤣
MweeMweeh, ila angalau hutusumbui kama mdogo ako wa tumbo moja
Wow hongera ...Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....
Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this world
View attachment 2081510View attachment 2081513View attachment 2081515
Mwee
Napigwa majungu
I miss you more brother Kaveli🤗Accidentally leo najikuta nishatia timu pande hizi mkuu. JF jiji kubwa, chochoro mob!!
Selfika is loading... 😎
Miss you lovely sisy.
-Kaveli-
Ndio ujue yule ni lastborn grade A😀Eeh umezidi. Ila yule mwenzio ndiyo nilishindwa hata kucheka, eti ameanza na kutuaga; yaani nyie
Maisha mazuri sana, napenda mda mwingi kuishi peke yangu mahala tulivu kama hapo na niwe naona green na kusikia ndege au wanyama ndio kelele pendwaaa.. 😊😊😊Habari nzuri. Yeah! Baada ya kipigo cha Covid kidogo kazi zimerundikana...na zina deadline. Hapa penyewe nipo nimejifungia mahali porini huku napambana nazo. Ni lazima nizimalize on-time kwa sababu nisipofanya hivyo mwenye nazo atakula hasara kubwa sana!
Thanks Boss Lady
View attachment 2081492
Nikiwa nimejifunika humu gubi gubi 😁😁😁😂😂😂Mida hii unachat ukiwa wapi???View attachment 2081566 Tupia Selfie ulipo!
Haha..safiii✌️✌️✌️Nikiwa nimejifunika humu gubi gubi 😁😁😁😂😂😂
View attachment 2081572
una cheatJamani chef detat toa dislike yako bwanaView attachment 2081571
Nacheat nini😂una cheat
huyo jamaa anakupa ma kopa kopaNacheat nini😂
Kaka yangu🤗huyo jamaa anakupa ma kopa kopa
Nacheat nini
Ananionea wivu kwa kaka yangu🤣
Ananionea wivu kwa kaka yangu
Nilikuwa sijui kama kuna kitufe cha dislike kwa sababu huwa situmii browser. Siku moja nikaingia huko nikakuta jamaa mmoja kanitandika dislike za kutosha tu halafu sasa ni kule kwenye memes uzi wa vituko. Nilishangaa kidogo kwa sababu kile ni kijiwe cha kucheka tu na kufurahiJamani chef detat toa dislike yako bwanaView attachment 2081571