Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah! Literally stopped everything for my baby girl. 13 yrs and counting. Total sacrifice and commitment to her. Mpaka imefika mahali sasa ameanza kuniambia eti anataka mdogo wake. Namwambia mdogo wako mi nitampata wapi na uzee huu...and she is like dad please do something. I need a young sis or a bro....

Kwa msaada wa Mungu I hope that I have raised a strong woman who, though gentle and humble, knows her worth and her place in this world


View attachment 2081510View attachment 2081513View attachment 2081515
Wow hongera ...
You guys have a solid relationship between a father and a daughter , keep up the good work .
" The value of a loving father has no price."
 
Habari nzuri. Yeah! Baada ya kipigo cha Covid kidogo kazi zimerundikana...na zina deadline. Hapa penyewe nipo nimejifungia mahali porini huku napambana nazo. Ni lazima nizimalize on-time kwa sababu nisipofanya hivyo mwenye nazo atakula hasara kubwa sana!

Thanks Boss Lady
View attachment 2081492
Maisha mazuri sana, napenda mda mwingi kuishi peke yangu mahala tulivu kama hapo na niwe naona green na kusikia ndege au wanyama ndio kelele pendwaaa.. 😊😊😊
 
Friday night
20220114_223449.jpg
 
Back
Top Bottom