Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo avatar naomba uitoe
Ngoja kwanza nifurahie Ph.D yangu kidogo mkuu
IMG-20211206-WA0018.jpg
IMG-20211207-WA0034.jpg
 
Kuna afande mmoja alikuwa anaingia class akikukuta umezubaa ' umekaa kaa kiree anakuwasha banzi moja takatifu afu anakwambia smile au cheza kiduku.

Alinikutaga sijavaa skafu alooooh
usinikimbushe nlipokua kabuku bhana wee, sometimes nashukuru sana, maana nakua jasiri, mkakamavu na mwenye nguvu,

Shughuri nione hizo sare sasa kinaumana,
 
Hii ishu ni case sensitive sana hasa kwa sisi tulio na watoto wa kiume.. Ina maumivu yake makali unless kama huna watoto
Sasa kwahiyo km una watoto wa kiume? Si uchukue jukumu la malezi kwa hao wanao juu ya kupingana na ushoga? Au mashoga wao hawana wazazi? Au waliwatuma wawe mashoga?

Gran pah bhana, sasa wee ukijitutumua kwenye keyboard kupinga ushoga, na sio hadharani tena bila vitendo hakuna matokeo yeyote chanya hapo. Ukisoma andiko langu utaelewa vizuri, unless km ulisoma kwa jazba na hasira, rudia kusoma upya utaelewa maana yangu.

Relaaaax kuwa na amani,
 
sasa je umeona comments za watu wako wanavyo weweseka? Si wawapige mawe na kuwaua na kuwatupaa mtoni km wanavyodai, wanabaki kulia lia,

Ahsante sana kwa kunionesha huu uzi, ndo nazamia mazima huko, maana uwanja ni wangu, naenda kutamba niwezavyo, weuweeeeeeeeeeeh
 
Tena nenda ukatambe na kujishaua upendavyo huku ukirusha mikono huku na huko; na kurembua tani yako huku tyuuh na jomoni za kutosha zikikutoka

Tena ikibidi uhamishie mapambano na harakati zako huko mazima. Huku tuache bana tuendelee tu kuselfika kwa amani kwa sababu haya mambo yako hayakawii kuchafua hali ya hewa hapa....

Kila la heri mkuu!
 
sasa je umeona comments za watu wako wanavyo weweseka? Si wawapige mawe na kuwaua na kuwatupaa mtoni km wanavyodai, wanabaki kulia lia,

Ahsante sana kwa kunionesha huu uzi, ndo nazamia mazima huko, maana uwanja ni wangu, naenda kutamba niwezavyo, weuweeeeeeeeeeeh
Duh kwani Wewe ni shoga mbona unaipenda hii mada samahani kwa kukoment
 
Back
Top Bottom