Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 61,904
- 155,967
Hahaha I'm fully occupied!!!!!Hahaaa tangu mmejua yuko single siku hizi mabaharia mnatupia tu ndoano siyo? Enzi hizo mlikuwaga mnamuogopa kama kituo cha manjagu!

nimekuelewa!!!! Napenda sana kukwaruzwa kwaruzwa naile kitu!!
Hii siyo kifo cha mende kweli?Hali ya hewa rafikiiView attachment 2035911
Niletee basi hapa kimarangoja jioni nitakutumia picha nishaanza adi kuishambulia peke yangu
Majobless huu ni muda wetu wa kutoka kwenye kochi kwenda kupumzika tena kitandanitutakua wengi hapa. View attachment 2035917
Hiki kilevi sio poa, hata Smirnoff haifui dafu hapa.Hali ya hewa rafikiiView attachment 2035911
Kazi na dawa my ex
Nimecheka sana equation yakoKazi na dawa my ex
upo makini sanaNimecheka sana equation yako
Usijali rafikiNioneshe kama kweli umenimiss kwa vitendo madam
Ni kuomba Mungu sana. Ukipata litoto lishoga ni mtihani hevi wa Cambridge cha mtoto!Hii ishu ni case sensitive sana hasa kwa sisi tulio na watoto wa kiume.. Ina maumivu yake makali unless kama huna watoto
Na ile kilimanjaro uliyonunua iko wapi?,picha ya juu niliona kilimanjaroupo makini sana
Kuna mtu anateseka sana ktk dunia hii juu ya maisha ya mwenazake?
Wee ukinywa pombe, ukivuta sigara ni wee, na wenzio wakikunjwa 7 ni wao, unless nawee unataka ukunjwe 7 au wivu unakusumbua hupati wa kuku kaza?
Anajisifu eti angemfahamu huyo shoga ange mshoot, tobaaaah wee , mbna ameshindwa kuwa shoot James Delicious, Aggrey, Pk kimodo, mtoto wa mama, Rajuu baby, tena hawa ndo wanajishaua wazi wazi tena bila kuficho, yaan hadharan kweupe, na jamii nzima inawaona, wanapishana na watu huko kwenye ma clubs, pubs, bar, na hotels mbna hatuoni waki shootiwa hizo shaba sijui risasi .
Huyo James Delicious alishakutwa na case 2 mfululizo ushahidi ulikuepo tena usio na shaka, alifikishwa mahakamani pale kizimbani juu mbna alitoka nje tena kiulaini km ananawa vile tena mara 2 zote, na kuwaacha hao mnawasifia wa madawa ya kulevya, mfano shamimu na mume wake wako lupango miaka 30 wanatumikia, , afu eti unafananisha ushoga na madawa ya kulevya iv uko timamu wee?
Nakumbusha ktk tukio lingine, kuhusu saka saka ya mashoga wakati wa Paul Makonda, watu walimshangilia sana na kumsifu, je tamko la serikali lilivyotoka? Lilisema nini? Na mambo yalikuaje? nacheka hapa km chizi khaaaah.
Haya mnasema sheria na taratibu za nchi zinapinga na kuona jinai ushoga. James Delicious mbna yuko nje? Nakumbusha tena kupitia video ya ngono ya wale wanafunzi wa IFM, mbna hawajashitakiwa wala chuo husika hakijachukua hatua yeyote ya kinidhamu juu yao, maana mnasema ni ukiukwaji wa maadili, hizi kelele ni za kwenye Keyboard tyuuh au?
Ushoga unapigwa vita kali sana kwa % kubwa na wanaume, haya huu ushoga unafanywa na jinsia gan? Si ni wanaume? Sasa kwa upingaji huo ilitegemewa kuona huo ushoga unapungua km sio kuisha kabisa, badala yake ndo unazidi kukua tena kwa kasi ya ajabu. Ukweli ni upi sasa? Nyie wanaume acheni unafiki khaaah
Yaan mtu anaanza kujifaragua kufananisha jinai ya madawa ya kulevya/bangi, na ushoga, tena anapigia chapuo madawa ya kulevya/bangi na kuunanga ushoga, haya wekeni hapa tafiti au hata mfano m1 wa mtu aliyefungwa kisa jinai ya ushoga kulinganisha na hiyo ya madawa ya kulevya/bangi,
Ifike hatua ukweli uwekwe wazi na ukubalike haijalishi unaumiza kiasi gani, ushoga ni suala mutambuka na pana sana, hakuna anayeweza kukabiliana nalo, tena kwa hii nchi yetu ndo kabisa haina hata ubavu wa kujaribu,
Mnajifaragua sana mitandaoni, tokeni hadharani muonekane tena mkipinga kwa vitendo na, sio maneno mbna hata mie ntakua wa kwanza kuunga mkono hilo .
Hapo nimezungumzia kwenye upande wa maadili, sheria kanuni na taratibu za nchi, kuhusu jinai ya ushoga,
Sijataka kuzungumzia kwenye dini, maana huko kumeshajadiliwa sana na inaeleweka, na ukweli uko wazi kabisaa, ila watu wanajitoa ufahamu tyuuh na kukaza shingo. Hapa nataka kuona hoja za kisayansi nianze kuzichambua,
Nitoe rai kwa watu fulani wanaokerekwa na ushoga, nawaomba wawe buzzy na maisha yao binafsi kwa minajiri ya maendeleo, hata km wanaumia lazima wavumilie tyuuh na wawe wapole maana hakuna namna, huu ushoga haujaanza leo wala jana, na hautaisha kamwee labda ardhi iwe juu, anga chini,
Ukweli mchungu unaoumiza..............
Hiyo avatar naomba uitoeNi kuomba Mungu sana. Ukipata litoto lishoga ni mtihani hevi wa Cambridge cha mtoto!
Usijali rafiki
Umeyaleta tena haya mambo yako? Siku ile uzi uliwaka moto. Leo naona busara imetawala watu wamekausha. Mungu na Atusaidie sote na hasa wenye watoto wadogo wa kiume. Ombeni sana bila kukoma ili kikombe hiki kiwapiteKuna mtu anateseka sana ktk dunia hii juu ya maisha ya mwenazake?