geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,036
- 7,195
mkuu nimeona pia usafi wa mwili....nguo white juu chini rangi siijui...shape iliyotukuka hakika siku yangu imeenda safi sana na leo nitapata hela nyingi sana huku kwenye bodabodaumeona nini ile mikono mizuri,yenye kucha zilizowekewa nakshi nakshi,,mkono mmoja ukiwa umeshika simu na mkono wa kulia ukiwa umebeba wallet pamoja hanchifu..au kule juu kifuani palivyo tulia