Selfika na JF: Snap it. Show it

umeona nini ile mikono mizuri,yenye kucha zilizowekewa nakshi nakshi,,mkono mmoja ukiwa umeshika simu na mkono wa kulia ukiwa umebeba wallet pamoja hanchifu..au kule juu kifuani palivyo tulia
mkuu nimeona pia usafi wa mwili....nguo white juu chini rangi siijui...shape iliyotukuka hakika siku yangu imeenda safi sana na leo nitapata hela nyingi sana huku kwenye bodaboda
 
Yote hii ni raha tuu ya kupata Jiko.

FB_IMG_1637787353291.jpg
 
Back
Top Bottom