Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,613
- 225,217
Hawachelewi kujinyonga haoNasikia huko mko na hasira sana ni kweli?
Nina rafiki amezaa na mtu wa huko mtoto wake akilia ni anajitupa hovyo hovyo. Rafiki angu anamwambia mi hasira yako ya kihehe siitaki huku anakafinya