Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,219
- 1,785
Killing me softly..
Killing me softly..
Utopolo kipofu kaona mbalamwezi
Be serious.
Chaji simu wewe.Kwa heshima ya ushindi naweka picha ya gauni langu la Yanga
Japo picha ya kitamboView attachment 1952769
Umetoka kinyanwezi..Hata sisi wazee pigo za watu wa dar tunaziweza vile vile 😀😀
tusisahau bia ndugu
View attachment 1952818
😀😀😀turudi shamba sasa tukalimeUmetoka kinyanwezi..
usisahau ahadi yangu ya kulipiza kukurushia mawe kwa kuwachapa wanafunzi wengi sana..😀😀Sasa hapa walimu tunahusikaje
Hebu fanya haraka, hayo mawe yatakuwa lori ngapi? maana nataka kuanza ujenzi hapa.usisahau ahadi yangu ya kulipiza kukurushia mawe kwa kuwachapa wanafunzi wengi sana..
Mie imeniboa sina hamu nayo teena.View attachment 1953465
My Sunday…money heist mpaka iishe
Mie imeniboa sina hamu nayo teena.
Nilowapenda wanakufa sasa nitamuangalia nani tena!!Kwa nini jamani?
Why jamani! Wasn't my intention .. am sorry 😉Killing me softly..
Hapana mkuu mi sie chalii ya 'R'Machalii wa Arachuga utawajua tu yani
Mambo mtoto mzuri? umependeza na miguu yako mizuriView attachment 1953465
My Sunday…money heist mpaka iishe