Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani eeeh,Ningekunywa mirinda nyeusi za kutosha
unaona nyuma ya hio glass kubwa ya shemejio, kuna glass yangu ya bia
nimemtoa leo jioni ili asinilaumu, huu usiku ni wakati wangu wa kufanya vurugu zote sipendi awepo

20210924_203139.jpg
 
Back
Top Bottom