Selfika na JF: Snap it. Show it

Saivi nafikiria kuhamia kwenye OPPO nione maana hapa nshakaa sana saivi nina note 8 ishaweke crakes vimistari viwili hata sijaiangusha.sijui ilijibana na funguo mfukoni au coins
Duh pole pia chukua protector ngumu that durable, nina protector ninayo aiseh sio rahisi kupata crakes, usichukue zile zinauzwa kila kona na kwa bei cheap, tafuta zile nzuri na unique
 
Jioni njema
IMG_20210921_172126_345.jpg
 
Back
Top Bottom