Hehe mimi ni Simba na Liverpool
duuuh...all the bestHehe mimi ni Simba na Liverpool
Au arsenaleeee na wana simba unakuta ni Man u au Liverpool.... Kuna kitu kinafanyika kispirit kabisaSijui kwanini wabongo wengi ukikuta ni shabiki wa Yanga, basi kwa timu za Uingereza lazima tu awe shabiki wa Chelsea.
Unaniharibia unclee wangu unataka awe mlaini kama wewe , ngoja aanze ratiba za kupiga soccer .. Kuoa ataoa tu sababu ni nyingi tu za kuoa na haziishiHutaku uncle ajifunze jamani??? Au unataka aje aoe kisa tu mtu wa kumpikia??
Uje umchukue though. ...ubalansishe nisije nikaamza kumfundisha mpaka kukuna nazi.
UnaonaaaHehe mimi ni Simba na Liverpool
Hakuna kitu hapa. Utaishia kujaza maji tumboni tu. Afadhali Balimi zangu
Low cut
Usinisahau hiyo siku ikifika ankoMimi niko tayari kabisa